Ziara ya Rais Samia mkoani Morogoro leo tarehe 03 Agosti kufanya yafuatayo

Ziara ya Rais Samia mkoani Morogoro leo tarehe 03 Agosti kufanya yafuatayo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA MKOANI MOROGORO LEO TAREHE 03 AGOSTI, KUFANYA YAFUATAYO:

▪️Kuzindua Kampeni ya Tutunzane Mvomero Uwanja wa Sokoine Mvomero.

▪️Kuzindua Bwawa la Umwagiliaji la Kiwanda cha Sukari Mtibwa.

▪️Kuzindua Kiwanda cha Sukari Mkulazi-Mbigiri

▪️Kutembelea Kiwanda cha Mbegu Kiwanda cha Wakala wa
cha Wakala wa Mbegu (ASA)

▪️Kufungua Barabara Kilosa Mjini ya Rudewa-Kilosa (km25) na kuzungumza na Wananchi .

ANAAHIDI, ANATEKELEZA, KAZI IENDELEE
IMG-20240803-WA0078.jpg
IMG-20240803-WA0049.jpg

IMG-20240803-WA0049.jpg
IMG-20240803-WA0021.jpg
 

Attachments

  • IMG-20240803-WA0047.jpg
    IMG-20240803-WA0047.jpg
    529.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240803-WA0019.jpg
    IMG-20240803-WA0019.jpg
    198.4 KB · Views: 2
  • IMG-20240803-WA0020.jpg
    IMG-20240803-WA0020.jpg
    201.6 KB · Views: 1
KUZINDUA?Ina wa impact vipi hao wananchi postively kiasi kwamba asipofanya ni hasara?Maana amezindua Treni ya Umeme( SGR) ndiyo ikazimika kabisaaaa!!!?
 
Rais kuzindua Bwawa na umwagiliaji? Kuzindua sijui barabara km kadhaa ni vitu vya kuaibisha Taasisi hiyo Kubwa,ndio maana watu wanaichukulia poa tuu.
 
Tarehe 4 atakuwa wapi na 5

Ili ,waalimu waanze kuandaa nyimbo za kwaya

Nchi hii ngumu sana ,shida za wananchi hadi ziundiwe kwaya ujumbe ufike kwa rais na aelewe
 
Back
Top Bottom