pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
https://www.the-star.co.ke/news/201...ya-direct-flights-after-uhuru-kingston-visit/
Rais Kenyatta yupo kwenye ziara rasmi nchini Jamaica ambapo alipokewa na waziri mkuu wa Jamaica Andrew Holness. U.K aliandaliwa gwaride ya heshima na vikosi vya kijeshi vya Jamaica ikiandamana na mizinga 21(21 gun salute). Viongozi hao wawili walishuhudia mikataba miine ikitiwa saini na mawaziri wa Kenya na Jamaica. Mikataba hiyo ni kwenye sekta za utalii na michezo.