Ziara ya Rais Uhuru Kenyatta Jamaica: Mikataba minne yatiwa saini, Kenya kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja, Nairobi-Kingston

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
https://www.the-star.co.ke/news/201...ya-direct-flights-after-uhuru-kingston-visit/
Rais Kenyatta yupo kwenye ziara rasmi nchini Jamaica ambapo alipokewa na waziri mkuu wa Jamaica Andrew Holness. U.K aliandaliwa gwaride ya heshima na vikosi vya kijeshi vya Jamaica ikiandamana na mizinga 21(21 gun salute). Viongozi hao wawili walishuhudia mikataba miine ikitiwa saini na mawaziri wa Kenya na Jamaica. Mikataba hiyo ni kwenye sekta za utalii na michezo.
 
Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa Jamaica walijadili pia kuhusu mikakati ya kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja kwenye route ya Nairobi-Kingston.
 
Uhuru yupo active sana
Biashara ya mirungi imeingia zogo huko Ulaya
sasa bora aone Jamaica
Je tofauti na bangi kwani hawatafuni ile miti (mirungi)?
Labda ameambiwa soko lipo
sasa kwanini wasiwe na trip ya Nairobi to Jamaica?
hapo wauza mirungi ndiyo abiria
wakipeleka bidhaa zao Jamaica

Uhuru huenda nae anatumia kitu cha Arusha!
(warabu wa pemba wanajuana kwa viremba)
But amethubutu anastahili hongera!
 
Zinapokea Watalii wengi kutokea wapi? Nairobi/ Afrika?
Kutoka kote duniani, sanasana kutoka Marekani na Europe, ndio maana tukaingia kwenye mkataba wa ushirikiano kati ya Kenya na Jamaica kwenye masuala ya utalii.
 
Kuna vitu sielewi, hiyo Nairobi-Kingston ni sababu za Kiuchumi au Kihistoria? Kwa maana sioni trip ya Kingston-Nairobi ikijaza hata nusu ya ndege, I mean nani anaenda Jamaika?
hapo umeongea sasa nani ataenda Kingston surely? better Nairobi - Sydney Nairobi - Tokyo , Nairobi - Los Angeles , Nairobi - Singapore na Nairobi - Rio lakini Kingston haitaleta profit yyte
 
Fi ya gang bang yuh diss mi you a dead man
Cah gunshot a be like drum pan where mi come from
And it's the same old story We don't give a damn about your guts and glory.
 
We are closer to Kingston now [emoji16][emoji16][emoji16]. Wengine bado wanatarajia Kufika Kigali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna vitu sielewi, hiyo Nairobi-Kingston ni sababu za Kiuchumi au Kihistoria? Kwa maana sioni trip ya Kingston-Nairobi ikijaza hata nusu ya ndege, I mean nani anaenda Jamaika?
I don't see the viability or profitability of this either.
 
PM Holness gifts Pres. Uhuru with a painting. Watz mna cha kujifunza hapa, sio lazima zawadi iwe mifugo na wanyama. [emoji38]
Uhuru aliomba Tausi unavyosema tuna cha kujifunza ni sawa na kutuambia tuiambie bangi iliyomtuma itake picha! That's unfair! 😐
 
Uhuru aliomba Tausi unavyosema tuna cha kujifunza ni sawa na kutuambia tuiambie bangi iliyomtuma itake picha! That's unfair! 😐
HALAFU hata sidhani kama hiyo zawadi katoa yeye, mbona kama ribbons ni bendera ya Jamaica.
 
hapo umeongea sasa nani ataenda Kingston surely? better Nairobi - Sydney Nairobi - Tokyo , Nairobi - Los Angeles , Nairobi - Singapore na Nairobi - Rio lakini Kingston haitaleta profit yyte
Inaweza pia ikaifanya Nairobi kuwa centre ya Caribean countries kwenda U.A.E especially Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…