Nibora ukalale kuliko viongozi kuwa na mambo ya ajabu utadhani wana undugu na sam999 DAILY POST: MARY reveals the SHOCKING things that male & female MPs do in Parliament's BAR mambo kamahaya huwezi kuwakejeli wenzie ikiwa kwenu ni hovyo hovyo hovyo kabisa CC: MK254
Nibora ukalale kuliko viongozi kuwa na mambo ya ajabu utadhani wana undugu na sam999 DAILY POST: MARY reveals the SHOCKING things that male & female MPs do in Parliaments BAR mambo kamahaya huwezi kuwakejeli wenzie ikiwa kwenu ni hovyo hovyo hovyo kabisa CC: MK254
Hivi wewe MOTOCHINI mbona unahangaika sana, wanasiasa wote wanafahamika kwa uchafu, na hili halina nchi wala nini. Hao viongozi wa Tanzania wanafahamika kuwanyofoa Albino ifikapo mwaka wa uchaguzi. Visa vya Albino kutoweka huwa vinaongezeka sana mnapofikia kwenye kampaini za uchaguzi.
Halafu kuna kipindi picha zililetwa humu za bunge wenu akifanya umalaya na amdemu tofauti, hii hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...zasambazwa-kwenye-mitandao-ya-kijamii-33.html
Hivyo hayo ya uchafu wa Wabunge, usitetee sana maana wote wachafu, wetu hawa na wenu pia.
Teh teh teh teh!!
Afu sikushibi wewe.... nazipitia tena na tena.
Hapo MK254 Nilikuwa nataka hapotu kwenye red, hilo la kuhangaika ww ndie chanzo kwanza mbona umejibu moja na kuhusu kulala mbona hujajibu? wakatindio shupalio lenu!Hivi wewe MOTOCHINI mbona unahangaika sana, wanasiasa wote wanafahamika kwa uchafu, na hili halina nchi wala nini. Hao viongozi wa Tanzania wanafahamika kuwanyofoa Albino ifikapo mwaka wa uchaguzi. Visa vya Albino kutoweka huwa vinaongezeka sana mnapofikia kwenye kampaini za uchaguzi. Halafu kuna kipindi picha zililetwa humu za bunge wenu akifanya umalaya na amdemu tofauti, hii hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...zasambazwa-kwenye-mitandao-ya-kijamii-33.htmlHivyo hayo ya uchafu wa Wabunge, usitetee sana maana wote wachafu, wetu hawa na wenu pia.
Hapana wasee Wa reggae hawana mistari ya kiswaz kama MK254
Maybe hizo mistari hucome akishachoma mandukulu
Ni kama tu wale mateeniez walishikwa kwa bus wakimisbehave.Wabunge Wa Kenya wananijazz na vituko vyao.
Maybe hizo mistari hucome akishachoma mandukulu
Here, my kind of songs...
Guest from Wazua Hoodla
Hahaha du!Maybe hizo mistari hucome akishachoma mandukulu
Lol, now this proves beyond reasonable doubt that wewe ni msee wa mandukulu
Strange. Wewe hukaangi msee mwenye uislando hivi...
:smile: