Ziara ya raisi,waziri wa mambo ya nje wa marekani;Je,nchi inakua salama au inatekwa?

Ziara ya raisi,waziri wa mambo ya nje wa marekani;Je,nchi inakua salama au inatekwa?

Kapo Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
996
Reaction score
280
Huwa nashangazwa sana pale usalama wa nchi unapokua mikononi mwa wageni ni aibu kwa nchi kama Tanzania miaka 50 tunaazimisha uhuru huku tukishindwa kutoa maamuzi ndani ya nchi yetu.Mfano ziara ya rais wa marekani aliemaliza muda wake mawasiliano yote yalikuwa mikononi mwa marekani na hivi karibuni Hilary Clinton,uko wapi uhuru kama si ukoloni mambo leo
 
Malalamiko kwenye keyboard ni udhaifu mkubwa kuliko kuwa mwanamagamba. Believe me.
 
Nchi yeyote omba omba usalama wake umo kwa wale wanaoifadhili!!
 
Back
Top Bottom