gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Atasaini biashara ya $600+b, unafikiri anazurura bure,nipe nikupe hapoWell said. Kajirahisisha sana huyu mzee kuzururia vinchi vidogo kisa hongo ndogo ndogo. Hilo tumba la dege ambalo Qatar wanataka kumpa kama zawadi limeshazua mjadala huko Marekani.
Aljazeera wanafanya kazi ya habari kama inavyopaswa na si aljazeera na Hamas lao moja, habari za uovu wa israel kabla ya mitandao ya kijamii ilikua ikifichwa na mainstream media, aljazeera hawafichi,tumia fuvu lako vizuriAl-Jazeera inamilikiwa na serikali ya Qatar.
Ukitaka kujua misimamo ya serikali ya Qatar basi tazama Al-Jazeera.
Qatar na Hamas lao moja.
Saudia kanunua AI hardware kwa $10B toka Amd, same kwa UAE ananunua kwa Nvidia chip laki 5 kwa mwaka kila mwaka hadi 2027. Why wameruhusiwa kununua na nchi zote karibia zote wamepigwa pin kuuziwa Quantity kubwa hivyo?Waarabu wanasaini mamikataba makubwa makubwa na USA, pia hizo nchi tatu anazotembelea ni kama wanashindana nani atazidi mwenzake kwenye mapokezi ya kifahari. Trump yuko kimaslahi ya US zaidi ukiangalia mikataba ilosainiwa jana na Saudi Arabia pamoja na mandege ya Boing ambayo Qatar kasaini kuyanunua leo utajua. Hapo bado UAE anafuatia
Nani aje kumtembelea Samia?Bila Marekani si watafurushwa bado kuja kumtembelea mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan
Najua . Israel anachokasirika ni kuona kama marekani atarubuniwa na pesa za Qatar na kuyumbishwa kuhusu misimamo yake dhidi ya Israel. Kumbuka Israel ana ushawishi mkubwa marekani kwa sababu ya pesa za wayahudi wa Marekani. Nilisoma sehemu kumbe Qatar Wana sponsor fedha nyingi kwenye vyuo vikuu vya marekani Hali iliyopelekea maandamano makubwa ya kuipinga Israeli vita yake dhidi ya Gaza. Nilishangaa sanaaAl-Jazeera inamilikiwa na serikali ya Qatar.
Ukitaka kujua misimamo ya serikali ya Qatar basi tazama Al-Jazeera.
Qatar na Hamas lao moja.
Na haiwezi kufutwa hiyo... 74yrs na bado itaendelea kuwa na miaka tele huko mbeleπAIPAC hufanya lobbying kwa ajili ya israel,na nguvu yao ni kuwafadhili wagombea wakati wa kampeni, JFK alitaka AIPAC ifutwe,wakamng'oa
Mheshimiwa daktari profesa emeritus Donald Trump.Nani aje kumtembelea Samia?
Waarabu wameanza kuiingilia marekani kama AIPAC,muda si muda ngoma droo,au mwarabu atakua na nguvu zaidi,pesa si ipoNa haiwezi kufutwa hiyo... 74yrs na bado itaendelea kuwa na miaka tele huko mbeleπ
Trump anafanya kama wanavyofanyaga Marais wetu...stroking their egos is the name of the game...Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda.
Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure, hawa Qatar wana lao jambo.
Hawafanyi haya mambo yote bila kutegemea chochote toka kwa Trump!
View: https://youtu.be/OSgYXH3Ra7g?si=IEwoXt4e3aQiXGuE
Israel haina ushawishi mkubwa kwa Marekani kuzidi ushawishi ambao Marekani inao kwa Israel.Najua . Israel anachokasirika ni kuona kama marekani atarubuniwa na pesa za Qatar na kuyumbishwa kuhusu misimamo yake dhidi ya Israel. Kumbuka Israel ana ushawishi mkubwa marekani kwa sababu ya pesa za wayahudi wa Marekani. Nilisoma sehemu kumbe Qatar Wana sponsor fedha nyingi kwenye vyuo vikuu vya marekani Hali iliyopelekea maandamano makubwa ya kuipinga Israeli vita yake dhidi ya Gaza. Nilishangaa sanaa
Inaweza kuja kutokea kwa maana naona nao wanachanga karata zao vizuri sana, lakini hata wakifanikiwa ni kama hawatoifaidi vizuri Marekani kwa maana utaona kwamba kitu kikubwa ambacho Trump anakipigania hivi sasa ni kuirudisha heshima ile ambayo walikua nayo duniani kote.Waarabu wameanza kuiingilia marekani kama AIPAC,muda si muda ngoma droo,au mwarabu atakua na nguvu zaidi,pesa si ipo
MBS kaweka mrija china, urusi na marekani, yaani anakaa kitaalam zaidi, trump anataka economic power tu, USA haiwezi kurudi ilikokuaInaweza kuja kutokea kwa maana naona nao wanachanga karata zao vizuri sana, lakini hata wakifanikiwa ni kama hawatoifaidi vizuri Marekani kwa maana utaona kwamba kitu kikubwa ambacho Trump anakipigania hivi sasa ni kuirudisha heshima ile ambayo walikua nayo duniani kote.
Lakini sasa hivi ni kama nguvu imepungua na kadri siku zinavyokwenda wanazidi kuonekana wa kawaida.
Unaelewa maana ya kunyenga?Hivyo ndio inatakiwa, hiyo ndio ile huitwa kunyenga huku mtaani kwetu, kwahiyo jamaa wameanza kumnyenga nyenga raisi wa Dunia kabla hawajaanza kuweka ajenda zaoπππ
Basi mudi anachanga karata zake vizuri kama ndio hivyo... Yeah ni ngumu kurudi ilikotoka ila ukishakua na economic power tayari unaweza kufanya lolote duniani kwa maana economic power ndio ambayo imeiweka Marekani kuwa namba moja siku zote.MBS kaweka mrija china, urusi na marekani, yaani anakaa kitaalam zaidi, trump anataka economic power tu, USA haiwezi kurudi ilikokua
Kunyenga ni kumuingia mtu taratibu kwa kutumia vishawishi vya hapa na pale... Na hiyo ndio maana nnayoijua Mimi mkuu.Unaelewa maana ya kunyenga?
MBS kaweka mrija china, urusi na marekani, yaani anakaa kitaalam zaidi, trump anataka economic power tu, USA haiwezi kurudi ilikokua
Shida kuna wahuni wanakuja vibaya kiuchumi,teknolojia etc, yaani mambo yamebadilikaBasi mudi anachanga karata zake vizuri kama ndio hivyo... Yeah ni ngumu kurudi ilikotoka ila ukishakua na economic power tayari unaweza kufanya lolote duniani kwa maana economic power ndio ambayo imeiweka Marekani kuwa namba moja siku zote.
Nadhani nchi ambayo inampa challenge Marekani kwa sasa hivi ni China.
Ndio vizuri kwasababu hali ya usawa kidogo itaenda kutokea, haiwezekani Dunia nzima tuwe tunaskiliza sauti ya nchi moja tu.Shida kuna wahuni wanakuja vibaya kiuchumi,teknolojia etc, yaani mambo yamebadilika
ππ Salute kwa QuatarNina mwanangu anafanya kazi huko.
Anasema Qatar wanapenda showoff sana tena sana.
Yaani kila ugomvi yeye anataka awapatanishe.
Wewe pigana tu na mimi kesho tunaitwa Qatar kwa gharama zao
Yaishe yasiishe wote tunapewa makazi ya kudumu bure, ila unaondoka na funguo zako
Siku ukija unakuta nyumba yako inakusubiri
Sitanii ni ukweli kabisa
Mr Slim na hasimu wake wa DRC walialikwa na wote wana mijengo yao sasa
Hata Taliban wana ubalozi na nyumba zao pia
Al shabab wapo hata Hamas wana makazi pia
Cheza na Qatar wewe
Hata Trump anaweza kupewa nyumba ya kifahari hapo bila hiyana
Kama ni hela mabilioni yanaingia
Unaweza kuamini hasara waliyoipata kwenye world cup ni mabilioni ya $$$
Ila wanasema faida ilipatikama 22b ila hasara ni mara 10 kwa serikali
Hao ndio Qatar sasa
Wao hela ni mapambo tu
Nilienda mwaka jana
Wametengeneza kisiwa artificial island mjini Doha
Yaani ka mji kadogo ila kamejaa hela
π³π³Inaweza kuja kutokea kwa maana naona nao wanachanga karata zao vizuri sana, lakini hata wakifanikiwa ni kama hawatoifaidi vizuri Marekani kwa maana utaona kwamba kitu kikubwa ambacho Trump anakipigania hivi sasa ni kuirudisha heshima ile ambayo walikua nayo duniani kote.
Lakini sasa hivi ni kama nguvu imepungua na kadri siku zinavyokwenda wanazidi kuonekana wa kawaida.