njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
We Ngabu hebu acheni mambo hayo muarabu akili ya kumsoma mtu aitoe wapiOh yeah. The Qataris knew their assignment.
Basi hapo Trump moyo wake umesuuzika sana.
Wako vizuri katika kumsoma mtu na kumwelewa alivyo.
Interest za waarabu wa Gulf hazikinzani na West ndio maana unaona wanaendana. West wanapenda kutawala na kumiliki nyanya mbalimbali zinazo control Dunia, Waarabu they don't care kutawala wengine ila wanapenda kumiliki Biashara bila kujali ilipo. So Waarabu wanafanya biashara wana invest West, West wanawalinda Gulf.Inaweza kuja kutokea kwa maana naona nao wanachanga karata zao vizuri sana, lakini hata wakifanikiwa ni kama hawatoifaidi vizuri Marekani kwa maana utaona kwamba kitu kikubwa ambacho Trump anakipigania hivi sasa ni kuirudisha heshima ile ambayo walikua nayo duniani kote.
Lakini sasa hivi ni kama nguvu imepungua na kadri siku zinavyokwenda wanazidi kuonekana wa kawaida.
So ni win win situation...Interest za waarabu wa Gulf hazikinzani na West ndio maana unaona wanaendana. West wanapenda kutawala na kumiliki nyanya mbalimbali zinazo control Dunia, Waarabu they don't care kutawala wengine ila wanapenda kumiliki Biashara bila kujali ilipo. So Waarabu wanafanya biashara wana invest West, West wanawalinda Gulf.
Wewe usiye mtumwa kwa nini huwezi kuandika bila kuingiza maneno ambayo si ya lugha yako?Nyuzi nyingi za Nyani Ngabu zina dhihirisha kwamba, "Ni rahisi kumvua mtumwa minyololo aliofungwa nayo but is next to impossible ku uondoa utumwa ndani ya fikra za mtumwa yule"
Watu wa race tofauti na yake always anawaandika very +ve BUT hataki kabisa kuona mtu mweusi kama Traore kaandikwa +ve.
RIP Pieter Walter Botha, alisema ukweli kutuhusu
Kabla ya huu mwaka kuisha hakikisha unajua kutofautisha kati ya uchumi mkubwa na utajiriHao wanamjua alivyo hivyo wanafanya kwa lengo la kumfurahisha na si kumwonyesha kuwa wana hela maana hela hata Marekani inazo. Ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
Oh yeah. The Qataris knew their assignment.
Basi hapo Trump moyo wake umesuuzika sana.
Wako vizuri katika kumsoma mtu na kumwelewa alivyo.
Daa, mkuu una mambo ya kishamba sana; kwamba kuandika kwa lugha ya watu wengine nao ni utumwa? So Wamarekani, Canada, Iceland, Australia, Ubelegiji, Newsland wote hao ni watumwq cause hawaongei lugha zao?Wewe usiye mtumwa kwa nini huwezi kuandika bila kuingiza maneno ambayo si ya lugha yako?
Jingalie kundule lako kabla hujaanza kunyooshea vidole ya wengine.
Hata wewe ni mshamba pia. Na siyo mshamba ttu. Ni fala pia.Daa, mkuu una mambo ya kishamba sana; kwamba kuandika kwa lugha ya watu wengine nao ni utumwa? So Wamarekani, Canada, Iceland, Australia, Ubelegiji, Newsland wote hao ni watumwq cause hawaongei lugha zao?
Ila Bwana Mkubwa mwenyewe ashasema, ni mjinga pekee ndiye ataweza kuikataa zawadi kama ile.Hakuna nilichoongopa
Ndege bado hajapewa na hakuna uhakika kama atapewa.
Rais wa Marekani hapaswi kupokea zawadi kubwa kama hizo. Huu ni ukweli.
Oh kumbe keshaichukua eh.Ila Bwana Mkubwa mwenyewe ashasema, ni mjinga pekee ndiye ataweza kuikataa zawadi kama ile.
Waarabu ni vichwa panzi sasa hapo wanapata niniAir Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda.
Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure, hawa Qatar wana lao jambo.
Hawafanyi haya mambo yote bila kutegemea chochote toka kwa Trump!
View: https://youtu.be/OSgYXH3Ra7g?si=IEwoXt4e3aQiXGuE
Waarabu, wachina na wahindi wanajua sana jinsi ya kuhandle viongozi corrupt; usishangae kuwa huenda hata wa kwetu huwa wanapewa heshima hizo za kilemba cha ukoka.Inaonekana wana kikosi maalum cha kusoma saikolojia ya viongozi wa dunia kama Trump. Hii ni sehemu muhimu sana ya intelligence katika international economic espionage.
Wengine wanawekewa hela tu kimyakimya.Waarabu, wachina na wahindi wanajua sana jinsi ya kuhandle viongozi corrupt; usishangae kuwa huenda hata wa kwetu huwa wanapewa heshima hizo za kilemba cha ukoka.
Wangekuwa vichwa panzi wasingekuwa hapo walipo. Vichwa panzi ni wale ambao Mwenyezi Mungu kawajalia utajiri wa ajabu kwenye ardhi lakini wanaomba msaada wa kujengewa matundu ya choo mashuleni.Waarabu ni vichwa panzi sasa hapo wanapata nini