Ziara ya Uganda: Ruto naye aibuka na mawaidha yake KeVsTz UgVsRw

Kwani ni marayako ya Kwanza kuona comment kama hio hapo Kwa FB page ya Rais wetu? Kenyatta is the most followed president in Africa, ingekua kila mtu anamsifia ningeanza kushuku hio FB na twitter page, kuna jamaa hua wanamtukana, na wengine wanamkejeli, wengine wanamsifu .... FB/TT ni social media platform kama hapa jamiiforums kila mtu ana ruksa ya kua na maoni yake binafsi na anaruhusiwa kuyabandika Kwa jukwaa ... Kenyatta mwenye ashawahi kukiri hua anapitia hizo comments za FB mara Kwa mara na alisema kama hauridhishwi na Jambo flani karibu kutoa "constructive criticism" badala ya kukejeli au kutukana..
 
Fugeni ng'ombe zenu kwenu nyoko nyie!
Ule msimu ambao nyumbu huvuka mpaka na kuja Kenya kutafuta nyasi pia wafugaji ngombe wenu hufanya hivyo. What goes around.....
 
Ule msimu ambao nyumbu huvuka mpaka na kuja Kenya kutafuta nyasi pia wafugaji ngombe wenu hufanya hivyo. What goes around.....
Unachanga nature na man made staff

Ukizuia nature utaua nature ya pande zote na effect itasambaa sehem mbalimbali ikiwamo uchumi wa kitalii both Tz na Ke

Sent using Jamii Forums mobile app
 

iyo highlighted sentence ni lugha yenu wa Kenya lkn binafsi nawapongeza hasa UK kwa risk aliyoamua kuchukua kuitransform Kenya through MKOPO mkubwa sanaa ni wazi ni jukumu lenu ss kuhakikisha mna fanya kazi kuhakikisha deni mnarejesha na kiukweli pesa aliyo kopea kama ndio amefanyia investment yote izo tunazo ona ktk picha hapo basi urudishwaji wake wa ilo deni litakuwa kwa kasi lkn ilo litafanikiwa zaidi endapo mkihimarisha mahusiano mazuri ya ki diplomasia na kuwa na nguvu ya ushawishi kwa Uganda ili ajenge SGR toka kampala kuelekea Kigali na sio Juba maana Ug wanataka kujenga SGR kuelekea JUBA ...lkn swala la usalama ni muhimu sana japo tunaona jitihada kubwa za wadau mataifa makubwa yanavyo pishana airport wote wanaitolea macho 254 dhidi ya al shabaaab that is real nice
 
Kwasababu magari ya kitalii ya Ke hayaruhusiwi kuingia Tz tangu 1985! ama ulikua haujui hilo?
Kama ni hivyo ange lalamika pia swala la migingo na miingo since enzi za mwai kibaki mnacharazwa tu na UPDF yaan nyie wa ajabu sanaa mnaona vifaranga na mifugo ni bora kuliko sehemu ya ardhi yenu ? Juzi juzi tena kule pwani ya Tanga na Mombasa kuna wavuvi walikutwa sehemu ya TZ hawajalalamika walicho fanyiwa ? walichukuliwa samaki zao zoteee alafu wakawekwa dention later on ndio wakaachiliwa ..Japo binafsi naunga mkono free movement
 
Samahani tena naomba nikumbushwe jina la makamu wa rais Tanzania meanwhile kila mtanzani anamjua Babu owino a first term MP...Tuko mbele!
 
Mpaka wa Kenya na Uganda hapo Migingo haujulikani uko wapi.... Map tofauti za enzi za ukoloni zinaonyesha line tofauti .... Kenya hatujawai peleka KDF huko Migingo, hadi leo ni Administration police kutoka Ofisi ya Kisumu ndo wanafanya patrol hapo migingo.. Hii inaonyesha jinsi politically hio issue tunaichukulia kama issue ndogo sana...

Ugingo Island ambayo ni kubwa iko Kenya, Migingo island ambayo ndi hako kaddogo ndo inapiganiwa, Tofauti ni chini ya 30 meters apart, map ilichorwa na waingereza kwa makaratasi, ambao hata hawakutembelea wala jua kuna hivyo visiwa...




Alafu kuhusu hao wavuvi wa Kenya.... Sata sisi hushika wavuvi wenu kibeo sana...

The government has made an official communication with authorities in Kenya regarding 109 Tanzanians who were arrested during the weekend in connection to illegal fishing.
The fishermen, according to reports from Kenya, were arrested in Shimoni a port village near border of the two countries.
Permanent secretary of Ministry of Foreign Affairs and East Africa Cooperation Prof Adolf Mkenda told The Citizen on Thursday that Tanzania’s Consulate in Mombasa had already visited the inmates in Kwale Prison where they are remanded.
Tanzania moves to secure freedom of over 100 fishermen arrested in Kenya | Azam | News | English
 

Sawa kabisa lazima mipaka ijulikane sawa sawa ... Na ww. Vp upo mji ganinmaana niko na trip ya kuja 254 nataka nikutembelee nikipata nafasi ya u free
 
Sawa kabisa lazima mipaka ijulikane sawa sawa ... Na ww. Vp upo mji ganinmaana niko na trip ya kuja 254 nataka nikutembelee nikipata nafasi ya u free
Mi niko Nairobi kwasasa lakini mkaazi wa pwani
 
Hio si lugha yetu, nddani ya Sub sahara Africa, Uhuru Kenyatta ako na 2 million followers kwa FB, rais anaye mfwata ako na 600k Uhuru Kenyatta is Sub-Saharan Africa's most famous leader | Africanews
 
Unachanga nature na man made staff

Ukizuia nature utaua nature ya pande zote na effect itasambaa sehem mbalimbali ikiwamo uchumi wa kitalii both Tz na Ke

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wamasaai wa Kenya huvukisha ngombe zao Tanzania msimu wa kiangazi ambapo nyasi hukauka upande wa Kenya, Wakati huo huo nyumbu pia hua wanarudi Tanzania kwasababu hio hio.....
Lakini Magu akaona haifai kumsaidia nduguyo wakati wa Kiangazi...... Hivi unajua wafugaji wa Somalia huruhusiwa kuingia Kenya hadi wa leo wakati wa kiangazi (licha ya uwepo wa alshbaab kutoka somalia)
 
Kenya watazamwe kwa jicho la uangalifu sana, sio wakweli na siowawazi on any deal watataka wafaidi Zaidi hawataki win win situation hata siku moja. Kwa sasa Watanzania wameshtuka na wasifiokiri wataweza tena kutuzidi kwa chochote. Sisi tunasonga mbele wao wamebakia kulalamika sorry.
 
So what ? Izo mambo ni pokitical gimmick
So, Ukiwa Rais mwenye most followers in Sub sahara africa with 2 million followers lazima kuna kama watu 100k wataandika comment mbaya kila siku.... Jamaa akichukua screeshort ya comment moja na ailete hapa akidai eti wakenya hawamkubali Uhuru hio ndo itakua ni political gimmick
 
Sema wakikuyu ndio wanamkubali,wajaluo awamkubali,eti unajifanya kusema wakenya,ukabila mmeacha lini!nyie ni wajaluo na wakikuyu
 
Sema wakikuyu ndio wanamkubali,wajaluo awamkubali,eti unajifanya kusema wakenya,ukabila mmeacha lini!nyie ni wajaluo na wakikuyu
Wewe kama mtanzania unafaa uwe haujui tofauti kati ya Mkikuyu au mjaluo...... vile umeandika inaonyesha hata wewe ni mkabila rohoni, ungekua mkenya ungekua mmoja wao wa hao wenye ukabila mchafu (negative ethnicity)...
 
Write your reply...
wakenya mbona mnapenda kulialia?yaani kuanzia kibera kwa akina jenerose hadi state house jamaa ni lawama tu


pombe nakuaminia mzeebaba endelea kubana hivyohivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…