J Janerose mzalendo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,881 Reaction score 2,813 Mar 15, 2019 #61 massachusett said: Write your reply... wakenya mbona mnapenda kulialia?yaani kuanzia kibera kwa akina jenerose hadi state house jamaa ni lawama tu pombe nakuaminia mzeebaba endelea kubana hivyohivyo Click to expand... De LUCY!!! Kwani ni vibaya kuishi kibera????
massachusett said: Write your reply... wakenya mbona mnapenda kulialia?yaani kuanzia kibera kwa akina jenerose hadi state house jamaa ni lawama tu pombe nakuaminia mzeebaba endelea kubana hivyohivyo Click to expand... De LUCY!!! Kwani ni vibaya kuishi kibera????
Papi Chulo JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 6,260 Reaction score 7,395 Mar 15, 2019 #62 Janerose mzalendo said: De LUCY!!! Kwani ni vibaya kuishi kibera???? Click to expand... ukiwa unaishi kibera,korogocho,kawangemi,mathare unakuwa huna tofauti na mtu mfu,yaani aliye kuzimu kuna watu wanaishi kuzima hapahapa duniani,so sad
Janerose mzalendo said: De LUCY!!! Kwani ni vibaya kuishi kibera???? Click to expand... ukiwa unaishi kibera,korogocho,kawangemi,mathare unakuwa huna tofauti na mtu mfu,yaani aliye kuzimu kuna watu wanaishi kuzima hapahapa duniani,so sad
jiwekuu770 JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 2,246 Reaction score 1,645 Jul 18, 2020 #63 Yamakagashi said: Hii ya kuchoma vifaranga Tanzania tulifanya upumbavu wa karne Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Walitumia Sheria ...Kwan vipodozi haramu vikishkwa huwa vinafanywaje
Yamakagashi said: Hii ya kuchoma vifaranga Tanzania tulifanya upumbavu wa karne Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Walitumia Sheria ...Kwan vipodozi haramu vikishkwa huwa vinafanywaje
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,388 Reaction score 7,223 Jul 19, 2020 #64 Kifo Ni kifo tu...ata Kama wasingechomwa wangechinjwa Tena wakiwa na akili timamu..Sasa sioni hiyo huruma ya kinafiki inapotokea
Kifo Ni kifo tu...ata Kama wasingechomwa wangechinjwa Tena wakiwa na akili timamu..Sasa sioni hiyo huruma ya kinafiki inapotokea