Ziara ya Ujenzi wa Chama cha ACT Wazalendo

Wiston Mogha

Senior Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
168
Reaction score
141
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, @DorothySemu akizungumza wakati wa kikao cha mashauriano kuhusu ziara ya ujenzi wa chama inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Juma Duni Haji makao makuu ya chama Magomeni jijini Dar es Salaam, Julai 10, 2024.

2ec28eee-4177-4e0c-8915-9972792e5ed9.jpeg
995a3a17-bb63-4054-84b8-5060d6c21e9f.jpeg
1ae85357-68e5-4cc4-be5a-fe7f457bc5ef.jpeg
7cc8d6d3-793c-417f-93da-d27c19d97dde.jpeg
 
Mimi ni chadema lia lia ila kwenye Organization na smartness ACT mmetuzidi sana. Unfortunately siasa zetu za Tanzania sio za sera ila mihemko otherwise tukiblend Sera za ACT na mobilization ya Chadema naona tutakua na opposition imara sana mwakani.

Hongera sana
 
Siasa hazifanyiki guest mkuu.
Wananchi wapo mitaani...
 
Attachments

  • IMG-20240710-WA0177.jpg
    IMG-20240710-WA0177.jpg
    132.1 KB · Views: 3
Oya siasa zipo Street hao jamaa zako wanaweza vuga huko,Kigoma na Mbagala wana vingi vyakujifunza CDM wenzao wanaacha watu ground CDM digital imefanikiwa sana huko ndio mana wanaungwa mkono kama chama mbadala despite ya figisu zote wanazofanyiwa kuliko chama chochote nchi hii hao wana ongoza dola la nusu mkate lazima waume nakupuliza
 
Mimi ni chadema lia lia ila kwenye Organization na smartness ACT mmetuzidi sana. Unfortunately siasa zetu za Tanzania sio za sera ila mihemko otherwise tukiblend Sera za ACT na mobilization ya Chadema naona tutakua na opposition imara sana mwakani.

Hongera sana
Hongera mkuu kwa kuwa chadema, hawa ACT hawajawahi kuwa chama cha siasa. Walitengenezwa na CCM watabaki hivyo. Kama umependa nakshi za ofisi sawa, lakini kichama ACT haijawahi ku exist.

Yani Hao hapo unavyo waona, wapo serikalini. Zanzibar wao wako ndani ya serikali, na makamu wa rais wa kwanza ni ACT, wanao wawakilishi na ruzuku wanalipwa na wako hoi kiasi hicho.

Chadema ni chama cha wananchi, hata bila ruzuku kilisimama, viongozi walitawanywa bila kupenda ,bado kilisimama kama chama.

Huwezi kusikia CCM wakisema ACT, kila siku watasema na kuimba CHADEMA, hiyo inathibitisha kwamba kuna chama kinawatoa kamasi.
 
Kwenye vikao vya ccm hutakaa usikiye ajenda nyingine tofauti na kupambana chadema na kushinda uchaguzi na kumiliki viwanja vya wazi
 
Back
Top Bottom