Wiston Mogha
Senior Member
- Feb 13, 2014
- 168
- 141
Siasa hazifanyiki guest mkuu.Mimi ni chadema lia lia ila kwenye Organization na smartness ACT mmetuzidi sana. Unfortunately siasa zetu za Tanzania sio za sera ila mihemko otherwise tukiblend Sera za ACT na mobilization ya Chadema naona tutakua na opposition imara sana mwakani.
Hongera sana
Siasa hazifanyiki guest mkuu.
Wananchi wapo mitaani...
Hongera mkuu kwa kuwa chadema, hawa ACT hawajawahi kuwa chama cha siasa. Walitengenezwa na CCM watabaki hivyo. Kama umependa nakshi za ofisi sawa, lakini kichama ACT haijawahi ku exist.Mimi ni chadema lia lia ila kwenye Organization na smartness ACT mmetuzidi sana. Unfortunately siasa zetu za Tanzania sio za sera ila mihemko otherwise tukiblend Sera za ACT na mobilization ya Chadema naona tutakua na opposition imara sana mwakani.
Hongera sana
Kwenye vikao vya ccm hutakaa usikiye ajenda nyingine tofauti na kupambana chadema na kushinda uchaguzi na kumiliki viwanja vya waziHongera mkuu kwa kuwa chadema, hawa ACT hawajawahi kuwa chama cha siasa. Walitengenezwa na CCM watabaki hivyo. Kama umependa nakshi za ofisi sawa, lakini kichama ACT haijawahi ku exist.
Yani Hao hapo unavyo waona, wapo serikalini. Zanzibar wao wako ndani ya serikali, na makamu wa rais wa kwanza ni ACT, wanao wawakilishi na ruzuku wanalipwa na wako hoi kiasi hicho.
Chadema ni chama cha wananchi, hata bila ruzuku kilisimama, viongozi walitawanywa bila kupenda ,bado kilisimama kama chama.
Huwezi kusikia CCM wakisema ACT, kila siku watasema na kuimba CHADEMA, hiyo inathibitisha kwamba kuna chama kinawatoa kamasi.