Ziara yaTundu Lissu Uganda inahusiana na utatu uliopo kati yao Bobi Wine na Robert Amsterdam?

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Robert Amsterdam naye ni wakili wa Bobi Wine....

Imenikumbusha kipindi kile cha kukaribia uchaguzi....zile NGO's ambazo zilitumiwa kupitisha fedha kutoka kwa wafadhili kwenda kwa CHADEMA....na wananchi tukaelezwa kuwa fedha zile zikawa "freezed".

Je ni zama mpya na hatua mpya ?!!

Trump ,Elon Musk ,seneta M.Lee wanashajiisha kujitoa NATO na UN.....

Hakika ni "geo-political" shift kubwa sana.....

Wanasiasa wa afrika wasitegemee wajomba huko nje....wajomba wako bize kupambana na akili na mipango mikubwa na isiyotabirika ya rais Trump....

#Siasa ya Tanzania ni kwa ajili ya mipango inayoendana na historia yake na si ya Uganda ,Canada wala Brussels....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…