Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Asikwambie mtu ziara za nje muhimu mno! Uchumi unafunguka watu wananeemeka! Maji yanamwagika huko vijijini, Miradi inakwenda! Bei za vyakula na bidhaa mbalimbali zinashuka!
Yaani ziara tamu! Haswa ukikaa kwenye luxury seat za lile dude la Boeing 757, mezani kuna Asian sushi, sashimi na Mediterranean-inspired salads huku ukisindikiza na wine aina ya Domaine de la Romanee-Conti Grand Cru ya mwaka 1945, yaani madawati yanajileta yenyewe madarasani tunasahau habari ya watoto wetu kukaa chini!
Ziara za ndani wala hazina umuhimu, wizi wa mali ya umma na usimamizi mbovu wa miradi ya umma kwanza haupo siku hizi. Watumishi wamekuwa waadilifu hawaibi tena.Hata zile picha za kile kisima cha samaki kilichogharimu bilioni 2 si za kweli ni propaganda tu za wapingaji.
Kilombero Hoyee!