Zidane anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha, nawatabiria ushindi wa Euro 2024 na world cup 2026

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023.

Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026. Ufaransa wanavyo vipaji vya kila aina ikiwemo kijana machachari Mbappe. Muda utatupatia majibu.
 
Katika Dunia ya kibiashara, siku zote Bingwa huandaliwa.
Kama Ajentina ya Lapulga ilivyoandaliwa(japo wana-uwezo).

Ili Ufaransa iwe bingwa(2024 na 2026), itategemea na mafanikio/umaarufu wa Mbappe kwa wakati huo.
💪🙏.
 
[emoji123][emoji120].
Imeandaliwaje mkuu
 
Katika Dunia ya kibiashara, siku zote Bingwa huandaliwa.
Kama Ajentina ya Lapulga ilivyoandaliwa(japo wana-uwezo).

Ili Ufaransa iwe bingwa(2024 na 2026), itategemea na mafanikio/umaarufu wa Mbappe kwa wakati huo.
💪🙏.
Anachukua ubingwa aliye na timu bora, hakuna mbambamba. Argentina ilikuwa bora sana mwaka huu.
 
Back
Top Bottom