Wewe ni mwanamke wa wapi?Kuna aina mbili za wanaume. Moja ni wale wanaojiita wa Daslam na wengine ni wale wa mikoani. Ebu tuangalie huu mfano halisi.
Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia.
[Wanaume wa Dar Bwana].
Hahahahaaa!...binadamu siku hizi tangu ajira zianze kusua sua basi mmekuwa wabunifu sana. Kila tukio mnabuni njia kumi za kuelezea tukio husikaKuna aina mbili za wanaume. Moja ni wale wanaojiita wa Daslam na wengine ni wale wa mikoani. Ebu tuangalie huu mfano halisi.
Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia.
[Wanaume wa Dar Bwana].
Basi siku nyingine ujifunze kuwa si kazi ya mwanaume kuwasema wanaume wenzie...Dah. Nawakikisha marijali wote wa mkoa a.k.a washamba. Lakin kazi tunaiweza
Kilichkua kinahitajika ni wewe kuelewa tu na nafkiri ushaelewa. Hayo mengine kaa nayoSasa hizo ni aina au namna walivyojiweka.
Niliposikia aina nilidhani labda kwenye hizo aina kuna wanaume wenye miguu mitatu na minne au wenye pembe au wenye vichwa na wasio kumbe [emoji90]
Acha kutudhalilisha bhana, kila siku wanaume wa dar mara wa mkoani, kwani wa dar hawana ma mbu.pu, wa mkoani ndio wanayo?Shilawadu wapo kwani wale ni wanawake. Fikiri kabla ya kusumbua vidole vyako ku type.
Kwani huyu kwao Dar? Sema na aliko tokea basi[emoji102]Kuna aina mbili za wanaume. Moja ni wale wanaojiita wa Daslam na wengine ni wale wa mikoani. Ebu tuangalie huu mfano halisi.
Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka, mwanaume wa Dar kaambiwa aonyeshe vyeti tu analia.
[Wanaume wa Dar Bwana].
PoleUkishaishi Dar tayari wewe ni Mdaslam tu hamna namna nyingine