Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mapinduzi ya Injini za Ndege ya mekuwa makubwa sana.
Kabla ya kujua injini za ndege kwanza tufahamu aina za injini kiundani kabisa.
Sio neno geni kujia jina injini na matumizi ya injini yanaeleweka na tunatumia kwenye vifaa na vyombo vyetu vya usafiri.
Injini inayozungumziwa hapa ni injini inayotumika kwenye vyombo vyote vya moto.
Maana kusema vyombo vya moto sababu injini iwezi fanya kazi bila kisababishi cha mafuta kitakacho lipuka ili kuzungusha magurudumu.
kifizikia :chemical energy is converted to thermal energy when in a fireplace or burn gasoline in a car's engine.
Ili mfumo wa wa injini kufanya kazi unategemea utendaji mkubwa wa kuzunguka kwa kupitia pistoni.
utendaji wake wa kwanza
1.Intake
2.compress
3.combustion
4Exhaust
PICHA ITAWAPA MUONGOZO KUFUPISHA MAELEZO
MATUMIZI YA INJINI KIUTENDAJI YAMEGAWANYIKA KWENYE MIFUMO YA PISTON:
*IN-LINE
ni injini iliyotengenezwa kwa sana kwa ajili ya magari na mfumo wake ni wa kupanga mstari kuzungusha pistoni za kwa zamu kama pistoni inavotakiwa kufata atua nne 1.Intake,2.compress,3.combustion,4Exhaust.
*V-TYPE
Ni injini yenye mfumo wa v katika pistoni na sababu ya injini hii ina uwezo wa kuzunguka mbadara wa injini ya radial.
radial uwezo wake wa kukata mawimbi ulikuwa mdogo.
ukimbiaji wake ni mkubwa wa kukata mawimbi na inatumika kwenye ndege kama tuzionazo ndogo
zenye injini mbele ya panga boy mbili mpaka nne.
*OPPOSED(Horizontal or Vertical)
ni injini ambayo piston zinaweza kusimama au kulala kwa mfumo mmoja.teknolojia hii hipo ila ni chache sana kuanzia magari na ndege.
*RADIAL
nimependa kuweka mwisho sababu ndio injini za kwanza zilizotumika kwenye ndege nyingi kubwa na ndogo hata vita vya kwanza na pili zilifanya kazi sana aina hii ya injini.
kuondolewa kwakwe baada ya mapinduzi V-TyPE na JeT.
MAPINDUZI YA JET IJINI :
Vita vya pili vimeleta mchango mkubwa sana bila vita basi jeti injini ingechelewa sana.
JETI injini ilitokana na mfumo wa rocket ambazo ujazwa gesi maalumu na kupelekea injini yake kuchanganya gesi hiyo na kusukuma rocket.
Baada ya wataalamu kugundua aian ya jeti ambayo utatumia kuweka mitungi ya gesi na kutumia feni maalumu zitakazo sindika upepo na kuchoma ndio ikatoka injini ya jet.
Mfumo wa jeti injini umebeba njia nne kama piston inavozungusha
KWA TEKNOLOJIA YA SASA JET INJINI IMEGAWANYIKA AINA 5:
1*TURBOFAN
Turbofan injini mara nyingi utumiwa na ndege nyingi zile za usafiri wa abiria na mizigo.
uwezo wa injini hii feni ya mbele kuvuta upepo mwanzoni ugawanyika pande mbili kuingiza kwa njia mbili ambazo utoa nje(byapass air) na ndani kwa ajili ya kuchoma kuchoma .
2*TURBOJET
Mara nyingi utumiwa na ndege za kivita .
injini hii feni za mbele ukusanya upepo na upeleka kwenye njia ndogo kwa ajili ya kutoa nje kwa nguvu kama mfano rocket.ina nguvu sana na kelele
3*TURBOPROP
Ni injini inayotumika sana kwenye ndege za kawaida na teknolojia iliyobeba mfumo mzuri wa panga boy na jet.
Uwezo wake wa injini hii iwezi kuruka umbali mkubwa usawa wa bahari na unywaji wa mafuta ni mdogo ukilinganisha na injini zengine.
Inauwezo kutembea mazingira yoyote .
4*TURSHAFT
Injini izi mara nyingi utumika kwenye elikopta
5*RAMJET
Ni injini zinazokaribiana na mfumo wa rocket na uwezo wake ukukusanya hewa ni mkubwa mwanzoni na mwishoni hewa uchomwa kwa kusukumwa ssehemu kubwa.sehemu ndogo ukilinganisha na injini zote.
Mfano wa ndege hii
MWISHO :