Part Asifiwe kilen Malila
Member
- May 16, 2022
- 22
- 57
Elimu elimu elimu 😜😜😜😜 ni moja kati ya chemsha bongo kubwa ambazo Zinakumba jamii nyingi za Afrika Hadi Leo !!! Jamii zetu Zina vijana wenye talent, uwezo ,vipaji, vision na hamu ya kufanikiwa lakini Bado mfumo wa elimu unakwamisha maendeleo.
Zifuatazo ni athari za elimu inayofundishwa katika nchi za
Dunia ya tatu kama Tanzania:
1. Kwanza elimu ni theory based; 🤔🤔🤔 elimu inayotolewa na walimu wengi ipo katika theory zaidi na si practical , Sasa katika Dunia ya Sasa mambo yanaendeshwa katika vitendo zaidi ya maneno.... Mfumo wa elimu tulionao una muandaa mwanafunzi kujifunza nadharia nyingi kuliko matendo🤔 . Mfano chukua pasi mbovu umpatie kijana wa PCM aliyemaliza form six kama atatengeneza ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ wanafunzi wengi wanaishia kuijua elimu vitabuni tu!
2. Pili elimu yetu haitibu matatizo ya jamii; elimu ni ufunguo wa maisha . Tunatarajia kupitia elimu vijana waweze kutatua matatizo na siku hizi tunaona hata Rais SSH anasisitiza vijana wasomi kujiajiri lakin je elimu inamchango Gani ??? , Elimu tunayosoma haitatui matatizo ya jamii yetu inaongeza matatizo zaidi Kwa kuongeza idadi kubwa ya wasomi waliosoma mambo ambayo hayahitajiki kweny jamii ya Sasa mfano Hadi Leo shuleni mtu anafundishwa kuhusu historia za zinjanthropus na mambo ya nyani kweny historia ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ je hiyo elimu inatatua matatizo ya jamii!!!
3. Tatu ,elimu inapimwa katika vyeti na si ujuzi na maarifa; jambo la tatu kuhusu elimu yetu ni kwamba inapimwa katika vyeti na si ujuzi ( skills) na maarifa ( knowledge). Elimu inafaa kuimpart knowledge na skills lakin Cha kusikitisha ni kuwa mfumo wetu wa elimu upo katika vyeti zaidi ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ so kama mtu ana vyeti feki vyeny alama nzuri anapewa nafasi lakini mweny maarifa na ujuzi ananyimwa.
4. Elimu yetu inakula muda mwingi sana wa vijana ; hapa ni mtu mwenye akili atanielewa. Ipo hivi mfumo wa elimu hususani huu wa Tanzania unatumia muda mwingi sana yaani mtoto anasoma miaka miwili ya kindergarten jumlisha saba ya primary school hiyo ni Tisa wakati Kwa ulaya hapo mtu yupo level nyingine , Sasa huyu mtoto anaingia miaka minne halafu tena anaongeza miwili ya advance daaah that's 15 yrs of schooling Bado hujachukua miaka ya chuo Kwa hiyo ni miaka kumi na nane shuleni .... Sasa hapo unakuta mzazi anafilisika Kwa kusomesha na still hakuna faida anayopata.
Masuluhisho;
1. Kubadili mtaala wa elimu uendane na mazingira.
2. Wanafunzi wasome wanayopenda na sio kutazama soko la ajira.
3. Sekta ya elimu ipewe hadhi na isiendeshwe kisiasa.
4. Elimu izingatie ujuzi , uzoefu na maarifa.
5 . Elimu izingatie vitendo na si nadharia.
6. Walimu wanaofundisha wapende kazi zao hususani lectures wa chuoðŸ˜ðŸ˜
7. Lugha ya kufundisha iwe moja kama ni kiswahili basi kiwe kiswahili kuanzia shule ya msingi Hadi chuo.
Nawasilisha🤗🤗🤗🤗