Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
Dalili za nchi masikini:
Uwepo wa redio FM kila kona
Msafara wa Rais unakuwa na gari nyingi kupita kiasi
Kila mtu anajenga nyumba/ kijumba
Wananchi vichwani kunawaza mpira
Matumizi na mapato hayana kanzidata/ data base
Kila baada ya hatua tano kuna duka/ kila mtu mchuuzi
Watu wanasoma kozi zisizotumika (mfano Gambia, wana ndege tano ila maroban karibu 15000
Mtu kupata huduma hadi ajikombe au atoe rushwa/chunguza upatikanaji wa passport utaelewa
Shule zipo kama mapambo hazina facilities
Kiwango cha uelewa ni kidogo kwa wananchi
Kila tatizo kwao ni Mungu awaokoe
Wingi wa makanisa na misikiti/ kila kona msikiti au kanisa
Kuna viongozi wa dini wanajiita mtume na nabii. Wote ni matajiri wakutupa lakini waumini wao ni masikini wakutupa
Asilimia 70 ya wananchi hawana bima ya afya
Asilimia 70 ya wananchi hawana computer
Asilimia 70 ya vijana wanacheza michezo ya betting. Kamari
Asilimia 70 ya labor force iko kwenye service industry
Kukosekana uchumi wa viwanda
Mbuga za wanyama ni kwaajili ya foreigners
Kuna vibanda vingi sana vyakuuza chipsi na vyakula.
Mvua ikizidi kidogo njia hazipitiki
Kilimo chao ni cha kutegemea mvua
Hakuna kilimo cha umwagiliaji
Watu hawatumii card za benki kufanya malipo wanabeba hela mifukoni
Watu wanachangiana kufanya sherehe kama harusi
Miji mikuu kua na foleni za magari kila mahali
Ukiacha barabara kuu, barabara za pembezoni zote niza vumbi
Hakuna town trains transportation wala undeground transportation
Nchi ina taasisi za kibenki zaidi ya 50
Nchi ina microfinance nyingi sana
Wananchi wana vikundi vya kukopeshana
Watu wengi kukimbia proffesions zao nakua wanasiasa
Watu wengi kuamini kujua english ndio usomi.
Kama zipo nyingine usisite kuongeza.