Ni kutokana na ulimwengu unavyokwenda kimaadili, imebidi na wao wakumbukwe pamoja na wale wenye nazo mbiliOoh kumbe kina jlokole nao Wana good vyao?
Ukitokea ubakaji watasemaje1. Duniani Kuna mambo. Nipo hapa Melbourne, Australia. Nimekutana na kitu cha ajabu kiasi.
2. Wenzetu hawa wamefikia kuwa na GENDER NEUTRAL TOILETS yaani humo anaingia yeyote tu bila kujali jinsia yako.
3. Na ni takwa la Kisheria sehemu za Umma kuwa na hizo facilities.
NB:Tembea uone.
View attachment 3072914View attachment 3072915
Utasema wew uliebaka😂😂Ukitokea ubakaji watasemaje