Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

Asante
 
Brush Cutter / Paddy Rice ni aina ya mashine ambazo zinatumia mafuta ya petroli ka ajili ya kendeshea injini yake , injini za mashine hii zinakuwa katika mfumo wa 4 stroke na 2 stroke , mashine hizi unaweza kutumia kuvunia mpunga na kufyeka majani aina zote inakuja na kifaa maalumu kwa ya kukusaidia kuvuna mpunga wako pia inakuja na visu ( cutting blade ) zenye turns mbalimbali kuanzia 3 turns mpaka 80 turns ambazo zitakusaidia kukata aina zote za majani porini
mashine hizi zinatumika sana kipindi kama hichi ambapo majani yanaota mengi mijini , hutumiwa kwa kukodisha , pia kwenye mashamba ya mpunga huweza kutumiwa kwa kukodisha
brand ambazo zinapatikana ni NIKO , EASY POWER , GT SHAKTI na EDON
NIKKO / EASY POWER 650,000
EASY POWER 550,000
EDON 450,000View attachment 20240206_100409.jpg
 
AC altenating current kwa ajili ya kufua umeme ,, yawezekana ni njia ambayo watu wabunifu huitumia kuikwepa gharama ya majenereta makubwa kuanzia kw 10 , na kuendelea , AC synchronous altenator zinaendeshwa na diesel driven engine na kuzalisha umeme mkubwa kuanzia kw 7 , 10 na 15 ambapo kwa kutumia teknolojia hii mtu anaweza ku curb pesa ya kununua jenereta kubwa na kupata umeme mzuri , kwenye muunganiko huo mtu atahitaji kuwa na altenator (3 phase au single phase) pamoja na engine ambayo inaweza toshana nguvu na alternator pia na stabilizer kwa ajili ya ku regulate kiwango cha umeme ambacho kinazalishwa
 
Water Pump za Diesel na Petrol (Kampuni ya lutian)
Diesel
-4 inches 1,350,000
-3 inches 1,100,000
-2 inches 950,000
Gasoline
-3 inches 385,000
-2 inches 350,000
 
Mkuu vp machine za kupasua mawe na kufanya yawe kokoto zinapatikana? Na bei ikoje?
 
Mkuu vp machine za kupasua mawe na kufanya yawe kokoto zinapatikana? Na bei ikoje?
Iyo ni kwa bei ikiwa icho kinu..

zikiwa complete maana yake engine au mota na bench yake

PE:150X250, ✅8,000,000=,

PE:200X300✅11,000,000/=,


PE:250X400,✅18,000,000/=
150x250, inatoa size 15mm-45mm 1-5 tan/h

200x300 ,inatoa size 15-50mm, 2-6tan/h

250x400, 5-22tan/h
inatoa size 20-60mm
 
Kwa picha au video nicheck whatsapp 068467025 napata shida ku upload hapa
 
AMEC WOODWORKING MACHINERY ( Kuchana , kuranda na kutoboa)
PF 16 5,500,000
PF 14 4,500,000
PF 12 3,500,000
zipo za single phase na 3 phase
 
Nahitaji machine yakufungashia vimiminika
 
Uzuri mzuri Sana huu.
Hata mashine ya kusaga nafaka especially Mahindi Ni nzuri Sana.
Nipo hatua za mwisho kabsa kuinunua nianze kupiga nayo pesa.
 
Mashine ambazo zinaweza kuhitajika CAR SERVICES STATION
-WHEEL ALIGNMENT
(Laser wheel alignment unaweza kupata kwa 1,250,000)

- WHEEL BALANCE
(OD HOFFMAN unaweza kupata kwa 3,400,000)

-TYRE CHANGER
(OD HOFFMAN unaweza kuoata kwa 3,300,000) tyre size mpaka 24"
 

Gasoline Generators
3.2 kw 650,000
5.5/6 kw 1,650,000 automatic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…