Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

LUTIAN DIESEL WATER PUMP
Outlet 4 inches
Ni pump nzuri sana na inadumu
Bei 1,400,000
 
Safi. Kwa mara nyingine naona Uzi wa maana Jf sio wanawake mara mke wng kfnya hv mara vle kuna midume humu n mingese sn inahusudu kumaaaa sn kla siku kelele za mapenz mahusiano mara hv mara vle mnazngua


Shusha mashine tufnye ujasiriamal
 
Samahani wakuu nimepoteza access ya account yangu ya "THINK MACHINES" nimejaribu kwasailiana na moderator naona wameshindwa kunipatia muafaka , kwahiyo basi nitaendeleza kulist mashine mbalimbali kupitia account hii
 
Wakuu CNC machine ya kufanya wood cravings na mambo mengine ya samani inauzwaje.
 
Mkuu

Hii ina gharama kiasi gani?
 
Mashine ndogo za kulimia nahitaji
 
Uzi umetulia sana huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…