Zifahamu mbaazi na faida zake

Zifahamu mbaazi na faida zake

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
MBAAZI NA FAIDA ZAKE ZIFAHAMU.jpg
Jinsi ya kuiandaa dawa ya Mbaazi

Chukua Majani, au maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (Ni vizuri kama utachanganya vyote) Pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita mbili (2) kwa muda wa masaa ishirini na nne au siku moja.

Chuja na uweke dawa hii mbali na jua/joto ni vizuri kama utaweka kwenye friji, kunywa kikombe kimoja Mara tatu kwa siku tatu.

TIBA
Dawa hii inaweza kutibu magonjwa yafuatayo:

1.Husaidia kuponesha vidonda.

2.Husaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi kwa wanawake.

3.Husaidia kupunguza uvimbe.

4.Husaidia kushusha homa.

5.Huponyesha kifua na kukohoa.

6.Husafisha kibofu/njia ya mkojo.

7.Huongeza kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali
 
Back
Top Bottom