Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Kuna baadhi ya nchi au mataifa yanayo ingiliana kimaeneo au utawala baadhi ya Mataifa hayo ni;
1. Nchi zenye maeneo katika bara la Asia na Ulaya.
Ni Urusi na Uturuki. Yaani maeneo haya yanapatikana kati ya ulaya na Asia
2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni.
Nchi hizo ni Armenia, Kupro na Georgia.
3. Nchi ambazo huhesabika kama zipo Eneo la la China au Huzaniwa ni Maeneo katika Taifa la China.
Nchi hizo ni Hong Kong na Macau.
4. Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari , Ceuta na Melilla
Italia: Pantelleria na Pelagie
Ufaransa: Mayotte na Réunion
Uingereza: · St. Helena na Diego Garcia
Ureno: Madeira
Maeneo hayo yapo katika Mataifa hayo yaliyo orodheshwa juu lakini husesabiwa kama maeneo yaliyopo ndani ya Bara la Africa