ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimeipenda hiiKebo za chini ya bahari, pia hujulikana kama nyaya za mawasiliano za chini ya bahari, ni nyaya za nyuzi-optic zinazowekwa kwenye sakafu ya bahari na zinazotumiwa kusambaza data kati ya mabara.
Kebo hizi ndizo uti wa mgongo wa mtandao wa kimataifa, unaobeba wingi wa mawasiliano ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na barua pepe, kurasa za tovuti na simu za video.
View attachment 2989492View attachment 2989495
Huko baharini Kuna viumbe vikubwa na vibabe kweli kweli yawezekana juzi papa au nyangumi walikasirika na kuyafyekelea mbaliHivi hizi nyaya zina ulinzi kweli.
Lakini engineers pia wapo makini kutengeneza miundombinu inayoweza kuhimili mazingira hayo.Huko baharini Kuna viumbe vikubwa na vibabe kweli kweli yawezekana juzi papa au nyangumi walikasirika na kuyafyekelea mbali
Je, nyaya hufanyaje kazi? Cables za kisasa za manowari hutumia teknolojia ya fiber-optic. Lasers upande mmoja huwaka kwa kasi ya haraka sana chini ya nyuzi nyembamba za kioo hadi kwa vipokezi kwenye ncha nyingine ya kebo. Nyuzi hizi za glasi zimefungwa kwenye tabaka za plastiki (na wakati mwingine waya za chuma) kwa ulinziHivi hizi nyaya zina ulinzi kweli.
Je, nyaya hufanyaje kazi? Cables za kisasa za manowari hutumia teknolojia ya fiber-optic. Lasers upande mmoja huwaka kwa kasi ya haraka sana chini ya nyuzi nyembamba za kioo hadi kwa vipokezi kwenye ncha nyingine ya kebo. Nyuzi hizi za glasi zimefungwa kwenye tabaka za plastiki (na wakati mwingine waya za chuma) kwa ulinziNimeipenda hii
Hatukusikia hizi hadithi miaka ya nyuma,inakuwaje sasa?Huko baharini Kuna viumbe vikubwa na vibabe kweli kweli yawezekana juzi papa au nyangumi walikasirika na kuyafyekelea mbali
Certainly trueLakini engineers pia wapo makini kutengeneza miundombinu inayoweza kuhimili mazingira hayo.
Hili sakata la internet kwa kinachoendelea duniani naamini kuna wajanja wana agenda zao.
ndege JOHN amekuwa kiakili now, analeta vitu crucial!!Nimeipenda hii
Lakini engineers pia wapo makini kutengeneza miundombinu inayoweza kuhimili mazingira hayo.
Hili sakata la internet kwa kinachoendelea duniani naamini kuna wajanja wana agenda zao.
Fiber bado ni reliable kijanaZimeshapitwa na wakati Sasa hivi STAR LINK ndio habari ya dunia
mbowe mwenyewe sina hakika kama anajua hii kituUkute Kuna mawaziri walikua hawajui hiki kitu