Zifahamu (Siheyuan) nyumba za asili za Wachina

Zifahamu (Siheyuan) nyumba za asili za Wachina

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
kwa wale wapenzi wa kungfu movies watakuwa wameona sana hizi nyumba. Hili neno Siheyuan maana yake nyumba iliyojengwa pande nne, ikiwa na courtyard katikati.

Nyumba kubwa inakuwa ya baba mwenye nyumba. Nyuma yake nyumba za wasichana. Pembeni, nyumba za watoto wa kiume. kwa mbele ni nyumba za wafanyakazi na library.

Huwa naipenda hii style. Kwa kiasi inaendana na nyumba za asili za kiafrika. Kiasili huwa wazazi hawakai nyumba moja na watoto.

1644374614368.png

1644374708372.png


1644374909655.png

1644374958053.png
 
Back
Top Bottom