Zifahamu timu za Uingereza zilizo mpost Messi

Zifahamu timu za Uingereza zilizo mpost Messi

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Messi ni moja wa mchezaji anayependwa na watu wengi sana hapa duniani kutokana na ukarimu, Nidhamu aliyojaliwa. Hakuna timu ulimwenguni isiyopenda kuwa na mchezaji kama Messi.

Wakati wa kombe la Dunia vilabu vingi nje na Uingereza ambazo zinawachezaji wake Argentina wamekua wakiwapongeza wachezaji wao lakini lazima na Messi wamwoneshe.

Unajiuliza kwanini wanampost na Messi? Why wasipost wachezaji wao tu?? Messi ni kama maji tu. Our GOAT [emoji238].
IMG_8081.jpg

IMG_8080.jpg

IMG_8076.jpg

IMG_8077.jpg

IMG_8078.jpg

IMG_8079.jpg
 
Messi kanogesha picha za wachezaji wa vilabu vilivyopost...
 
Huu uzi teaM ronaldo wanatamani mods waufutilie mbali!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu mwaka kazi wanayo
 
Back
Top Bottom