Bretha Naturals
Member
- May 25, 2018
- 61
- 86
Hii ni njia ya rahisi sana ya asili ya kuweka mng'ao kwenye nywele zako na kuzifanya zishine pia inachochea ukuaji wa nywele
Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha majani ya rosemary kwenye maji kiasi na uyaache yalale usiku.
Kisha unaongeza apple cider vinegar kwenye hayo maji. Unakuwa umejipatia serum nzuri sana ya nywele
Oshea angalau mara 1 kwa wiki