Zifanye nywele zing'ae

Joined
May 25, 2018
Posts
61
Reaction score
86
Hii ni njia ya rahisi sana ya asili ya kuweka mng'ao kwenye nywele zako na kuzifanya zishine pia inachochea ukuaji wa nywele

Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha majani ya rosemary kwenye maji kiasi na uyaache yalale usiku.

Kisha unaongeza apple cider vinegar kwenye hayo maji. Unakuwa umejipatia serum nzuri sana ya nywele

Oshea angalau mara 1 kwa wiki
 
Hiyo Njia Ya Kutumia Ubunifu Wa Vitu Asilia Uko Bomba Sana
 
Siku hizi viitu vyote vya urembo vipo jikoni kwako achana na kupoteza pesa madukani! Kitunguu+mafuta ya mnyonyo+ mafuta ya chungwa unapata mwenye nzuri sana!
 
pia kuna mafutaya nyonyo ni mazuri yanakuza nywele, yanazuia kukatika, kua nyeusi na kujaza nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…