Zifanyeni kuwa "Sticky"

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Posts ya Kwako kinamea kitu gani, na ile ya uchimbaji wa visima............ni issues zitakazoendelea kujadiliwa hapa................nawaombeni mods!
 
mfano leo naihitaji post iliyoongelea uchimbaji wa visima........how do I go about it?
 
zingefanyika "sticky" pia maswala ya ujenzi yote yaunganishwe na umeme-mbadala
kweli tusipate shida ya kutafuta-tafuta inachosha!

MODS...hivi moderator wa hili jukwaa ni nani?
 
Posts ya Kwako kinamea kitu gani, na ile ya uchimbaji wa visima............ni issues zitakazoendelea kujadiliwa hapa................nawaombeni mods!

mkuu kama unakumbuka niliomba tuwe na kajukwaa ka 'ujasiliamali' ndani ya business-and-economic-forum. kuzifanya posts ziwe sticky si suluhisho bado tutaendelea kupoteza taarifa nyingi sana muhimu mfano humu kuna threads zaidi ya 10 kuhusu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, kilimo cha nyanya ndio usiseme, ufugaji wa samaki, mbuzi nguruwe.. na mengine mengi sana

MODS TUNAOMBA KAJUKWAA KA UJASILIAMALI tukipata muda tutaendelea kuzitafuta hizo links za zamani na kuzipaste wenyewe
 
ile post ni hii

Topic: Kwenu kinaota/kinamea au kustawi kitu gani? link yake hapo chini
https://www.jamiiforums.com/busines...enu-kinaota-kinamea-au-kustawi-kitu-gani.html
 

Mkuu

naunga mkono hoja
 
Nasapoti idea hiyo. Topics zenye maslahi ya muda mrefu zifanywe sticky
 
Na mimi naunga mkono hoja ili tuokoe muda, mashine zingine kufungua ukurasa tu issue, sembuse kutafutathread ya kale!
Mods tuoneeni huruma.
 
Na mimi naunga mkono hoja ili tuokoe muda, mashine zingine kufungua ukurasa tu issue, sembuse kutafutathread ya kale!
Mods tuoneeni huruma.

Wasipoona huruma itabidi wachukuliwe hatua kali. Ukizingatia wengine tunatumia simu za tochi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…