ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sote tunajua tutakufa lakini kwa Hali ya Sasa hivi nyakati hizi za mwisho wa mfumo huu wa mambo tumeshuhudia vijana wakifa na wakizikwa na mama zao au baba zao tofauti na zamani.mimi kwa imani yangu NI kuwa kila Jambo Lina matokeo yake na kwa hivyo kifo kwa kuwa Ni mshahara wa dhambi Mara nyingi kinasababishwa na kufanya Jambo ambalo sio sahihi au kuwepo mazingira ambayo sio sahihi yaani hukupaswa uwepo
Kwa hivo nimekuletea njia mbalimbali ambazo zinaweza kukufanya ukahepa kifo na hatimaye kifo kikakuta uzeeni (natural death) katika umri unaopatana na ahadi ya Mungu
1.epuka kukaa na watu wenye mizaha kupitiliza kwani upumbafu wao unaweza kupelekea ajali au tukio litakalosababisha kifo,Ni heri utulie sehemu tulivu na watu watulivu
2.usijaribu jaribu vifaa au vitu vyenye usalama mdogo.mfano hajawahi kuruka na parachut halafu rafiki yako Ana kwambia jaribu kwa Mara ya kwanza asee inaweza kutokea bahati mbaya ukafa au mfano mwingine uko beach unaogelea unajijua kabisa hujui kuogelea ila unapendelea kwenda mbali kwenye kina kirefu futa kabisa wazo Hilo
3.usinywe pombe kupitiliza,Kuna mAjamaa mtaani walikua wamelewa wakaaanza kugombana Sasa mmoja akawa anamwambia mwenzake nitakuchoma kisu huyu mwenzake akamjibu nichome akawa anamsogelea hiiii Kama utani jamaa kachukua kisu kamchoma kweli.pombe hizo jamaa anajuta mpaka kesho aliishia kufungwa Yuko jela mwenzake kafa.pombe Ni hatari hasa zaidi kwa wanaoendesha magari
Bado naendelea kufanya tafiti jinsi ya kuchelewesha kifo nitakuja na njia nyingine hapahapa tushirikishane