Zifuatazo Ni mbinu za kukwepa kifo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sote tunajua tutakufa lakini kwa Hali ya Sasa hivi nyakati hizi za mwisho wa mfumo huu wa mambo tumeshuhudia vijana wakifa na wakizikwa na mama zao au baba zao tofauti na zamani.mimi kwa imani yangu NI kuwa kila Jambo Lina matokeo yake na kwa hivyo kifo kwa kuwa Ni mshahara wa dhambi Mara nyingi kinasababishwa na kufanya Jambo ambalo sio sahihi au kuwepo mazingira ambayo sio sahihi yaani hukupaswa uwepo
Kwa hivo nimekuletea njia mbalimbali ambazo zinaweza kukufanya ukahepa kifo na hatimaye kifo kikakuta uzeeni (natural death) katika umri unaopatana na ahadi ya Mungu
1.epuka kukaa na watu wenye mizaha kupitiliza kwani upumbafu wao unaweza kupelekea ajali au tukio litakalosababisha kifo,Ni heri utulie sehemu tulivu na watu watulivu
2.usijaribu jaribu vifaa au vitu vyenye usalama mdogo.mfano hajawahi kuruka na parachut halafu rafiki yako Ana kwambia jaribu kwa Mara ya kwanza asee inaweza kutokea bahati mbaya ukafa au mfano mwingine uko beach unaogelea unajijua kabisa hujui kuogelea ila unapendelea kwenda mbali kwenye kina kirefu futa kabisa wazo Hilo
3.usinywe pombe kupitiliza,Kuna mAjamaa mtaani walikua wamelewa wakaaanza kugombana Sasa mmoja akawa anamwambia mwenzake nitakuchoma kisu huyu mwenzake akamjibu nichome akawa anamsogelea hiiii Kama utani jamaa kachukua kisu kamchoma kweli.pombe hizo jamaa anajuta mpaka kesho aliishia kufungwa Yuko jela mwenzake kafa.pombe Ni hatari hasa zaidi kwa wanaoendesha magari
Bado naendelea kufanya tafiti jinsi ya kuchelewesha kifo nitakuja na njia nyingine hapahapa tushirikishane
 
Au ukiona hizo zote ni show ndefu unga urafiki na ziraili.

Now imagine smoking joint maskani na Mtoa Roho.

Pass the joint.
 
Dah umenikumbusha final destination, kama kimepangwa kitakuja tu, hata kama uko usingizini unapata one way ticket.....
 
Ilikuwa Jana sasa hivi we are almost safe from this tabia... Point to note witnessj.
Hongereni zenu kama mmebadilika!...maana mlisingizia uchawi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji125] [emoji125]
 
Unikodishe mimi bibie niwe dereva wako,ukitoka viwanja..
Nipo tayar kufanya kazi bila ujira,kukaa na wewe pemben ni ujira tosha kwangu
Sio mimi mkuu, me sinywagi ni huyo rafiki yangu niliyemquote kuna kitu namkumbusha...
 

4. Usipende sana kupitia njia ya TIGO bali pendelea sana kupitia njia za ama VODACOM au AIRTEL au HALOTEL na ukishindwa sana basi rudia ile njia ya kuelekea nyumbani ya TTCL ili usife.
 
Solomon, the wise prophet, held daily audiences during which he listened
to his subjects’ complaints and tried to address their problems. One
morning, as he was listening to one person after another, a distraught man
hurled himself into the great court. Solomon noticed how distressed the man
was and beckoned him forward. Grateful for being invited to the front of the
queue, the man fell to his knees before the great benefactor.
“What seems to be causing you such anguish, my dear fellow?” asked
Solomon compassionately.
“The Angel of Death, my lord! I saw him a minute ago as I was crossing
the street. He glared at me with such disdain that my heart nearly stopped!”
“We all know that Azrael takes his orders only from God and never
wavers in his duties,” asserted the great prophet. “Now tell me, what would
you have me do?”
“I beg of you, my life’s in your hands. Please tell the wind to carry me to
India, where I’ll be safe from the Angel’s harm.”
Promptly Solomon ordered the East Wind to carry the nearly paralyzed
man to India and lay him down wherever he chose. He then duly returned to
his other subjects’ unattended affairs.
The following day when he returned to court, Solomon caught a glimpse
of the Angel of Death among the crowd. He motioned the Angel to approach
and asked him: “Why do you frighten people with that wrathful look, to the
point that they abandon their livelihood and forsake their homes and family?
What had that poor man done yesterday to deserve your crushing glare?”
Azrael was surprised. “My lord, I didn’t look at him wrathfully at all! In
fact, I was astonished to see him!” he said. “God had commanded me to take
his pitiful life today in India, and I couldn’t imagine, even if he had a million
wings, how was he to get there on time. I was startled and gazed at him with
surprise, not anger!”
 
Mungu niongezee afya niishi miaka zaidi ya miamoja nikiwa nina nguvu na afya kama ya mzee wa miaka 70 na nife kifo cha amani.
 
Unikodishe mimi bibie niwe dereva wako,ukitoka viwanja..
Nipo tayar kufanya kazi bila ujira,kukaa na wewe pemben ni ujira tosha kwangu

Kuna hatari mende akaliangusha kabati😛😛😛 itakuwa ni ajali nyingine inatafutwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…