Jason Statham2
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 694
- 1,013
Hapana boss,nitaheshim miiko ya kazi yangu
#I'maprofessional[emoji41]
Usijali boss,mkeo atakuwa salama salmini akiwa nami[emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijali boss,mkeo atakuwa salama salmini akiwa nami[emoji41]
Si ndio madam boss?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie wote mnanivunja mbavuu aseeSi ndio madam boss?
Kwa uhakika zaidi nitahudhuria vipindi vitatu vya chaputa immediately kabla sijawasha gari,hii ni kukuhakikishia usalama wako zaidi bosslady[emoji41]
Okay sawa boss,kuhusu "maswala ya utekaji" usijali maana mimi nimesoma advanced driver grade two(vip driving course)pale nit,hivyo najua nini cha kufanya pale nionapo hatari kwa boss wanguOk wasiliana naye mpange T&C lakini inabidi muwe na chip mwilini.
Hio ni kwa usalama wako zaidi,maana vipind vitatu automatically charge itakuwa imeisha hivyo network haitakamata kwenye mnara,na hapo utakuwa salama salmini boss wangu madam[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie wote mnanivunja mbavuu asee
Ahaaaahaaaa....JoowzHio ni kwa usalama wako zaidi,maana vipind vitatu automatically charge itakuwa imeisha hivyo network haitakamata kwenye mnara,na hapo utakuwa salama salmini boss wangu madam
[emoji8]Ahaaaahaaaa....Joowz
Na system itakuwa ni hyohyo kabla ya kuanza trip yoyote,10minutes zinatosha kabisa...Ahaaaahaaaa....Joowz
Hujawahi kuniangusha mh MjumbeHakuna mbinu ya kukwepa kifo, zaidi ya usinge zaliwa
Ndugu mjumbe, hatupaswi kudanganya uzeeni...tehteehhHujawahi kuniangusha mh Mjumbe
Ndugu mjumbe, hatupaswi kudanganya uzeeni...tehteehh
[emoji8]