themathematicalmodelling
Senior Member
- Feb 2, 2018
- 174
- 327
Up in the street they call it murder...welcome to jamrock.....an ah mbaya sana huyu jamaaDamian "Junior Gong" Marley all the way.
Kimuziki,huyu ni Bob Marley wa Bob Marley.
Wengine wanaweza kuwa wameishia kuiga na kuimba kama Bob Marley.
Yani Ziggy Marley kaimba miaka kibao, ninachokumbuka ni "Tomorrow Peeople".Up in the street they call it murder...welcome to jamrock.....an ah mbaya sana huyu jamaa
Speak life usiisahau hapo mkuu huyu jamaa n motoUp in the street they call it murder...welcome to jamrock.....an ah mbaya sana huyu jamaa
Tatizo wengi mnalinganisha mziki wao wa sasa, au zamani kidogo bil KUJU kuwa Ziggy Marley ndiye mrithi hasa wa Bob Marley na kaimba mziki miongo kadhaa, na anaendelea kudhihirisha u.legend wake. Hayupo wa kumlinganisha naye ktk Bob Family.refer the heading above kama mnavyojua bob marley alikuwa na vipaji viwili hit maker(hakuna atakaye kuja kama yeye mpaka yesu arudi) and footballer na watoto wake 12 wameingia kwenye hivyo vipaji viwili nilivyovitaja mfano rohan marley mume wa lauren hill wa fugees alikuwa famous american football player (NFL) ila kwa hawa maarufu ni kymani marle,ziggy marley ,damian marley ,stephen marley and julian marley who do you think is the best and angekuwa kama alivyo bila hata ya surname ya marley?
remember all of them i mean bob marley's children and grandchildren are multi millionaires
a mwanae jina lenye asili ya kenya yaani kimani but wenyewe wanaiandika ky-manLabda niseme kitu.
Marley brothers wanakuwa bora kwa muunganiko wao pamoja.
Vile naona mitazamo hii inaleta utengano wala haisaidii chochote kuonyesha nani bora.
Ragga anafanya vizuri. Sikiliza No cigarette smoking in my room, Ina di red, Lonely Avenue, na cover song alizofanya za Mzee wake.
Lakini pia msikilize Jr Gong.
Na hapa niseme tu sikiliza Speak life. Maneno mazito, ni noma.
Kila mtu anampenda Damian.
Lakini Damian pekeyake atafanya nini kwenye Kaya Festival bila Juju, bila Ky-man, bila Ziggy, bila Ragga?
Hawa wote ni leaders....on their own right.
Tuwasheherekee wote.
Nimeona watu wanawapambanisha.
Kama vile unakuta watu wanaulizana Bob na Peter nani zaidi?
Zaidi ni RASTAFARI ambapo Damian, Ragga, Ziggy, Juju, Ky-man, Ninja man na Rohan wanaamini na kufuata njia hii