Kaka,Naomba nikite kambi. Ni aibu kufananisha watu hawa. Naona haya nimchague nani nimuache nani. Btw Tuff Gong Jr. Is the best, simaniishi wengine hawajui. Distant Relatives Project was the best. And Patience is the most outstanding track of Damian, Ila
Medicatiiiiiiiiiiiiiion, medication makes me high.
Hatari sana hiyo ngomaUp in the street they call it murder...welcome to jamrock.....an ah mbaya sana huyu jamaa
Mkuu na heshimu mawazo yako " pia na muheshimu sana Ziggy ..lakini kwa Damian akasome Upya ..yule sio mtu mzuri ndio maana waona hata ma star wa USA wana mnyenyekea mnoo haswa Nas ..Tatizo wengi mnalinganisha mziki wao wa sasa, au zamani kidogo bil KUJU kuwa Ziggy Marley ndiye mrithi hasa wa Bob Marley na kaimba mziki miongo kadhaa, na anaendelea kudhihirisha u.legend wake. Hayupo wa kumlinganisha naye ktk Bob Family.
Bonge si la ngoma hilo ..bonge si la ngoma balaa"... aisee kumbe tulikuwa tuna safiri pamoja kifikira Maana mimi mwenyew nimeitaja hiyo ngoma kabla sijaiona hii Post yakoAffairs of the Heart.... Bonge la ngoma! Jr gongYupo vizuri.
Kuna ile moja yupo na NAS katupia na kiswahili kidogo
Labda niseme kitu.
Marley brothers wanakuwa bora kwa muunganiko wao pamoja.
Vile naona mitazamo hii inaleta utengano wala haisaidii chochote kuonyesha nani bora.
Ragga anafanya vizuri. Sikiliza No cigarette smoking in my room, Ina di red, Lonely Avenue, na cover song alizofanya za Mzee wake.
Lakini pia msikilize Jr Gong.
Na hapa niseme tu sikiliza Speak life. Maneno mazito, ni noma.
Kila mtu anampenda Damian.
Lakini Damian pekeyake atafanya nini kwenye Kaya Festival bila Juju, bila Ky-man, bila Ziggy, bila Ragga?
Hawa wote ni leaders....on their own right.
Tuwasheherekee wote.
Nimeona watu wanawapambanisha.
Kama vile unakuta watu wanaulizana Bob na Peter nani zaidi?
Zaidi ni RASTAFARI ambapo Damian, Ragga, Ziggy, Juju, Ky-man, Ninja man na Rohan wanaamini na kufuata njia hii
Speak life usiisahau hapo mkuu huyu jamaa n moto
Bonge si la ngoma hilo ..bonge si la ngoma balaa"... aisee kumbe tulikuwa tuna safiri pamoja kifikira Maana mimi mwenyew nimeitaja hiyo ngoma kabla sijaiona hii Post yako
Speak life...Jr Gong
halfway tree "..,who CD di you think they get? The one closest to the Bob marley box set..." Junior GongUp in the street they call it murder...welcome to jamrock.....an ah mbaya sana huyu jamaa
Yani Ziggy Marley kaimba miaka kibao, ninachokumbuka ni "Tomorrow Peeople".
Kaja mchizi juzi tu kafunika vibaya sana.
Lakini Jah Shango Capleton alisema "music is a mission, not a competition"