Zigo la rushwa ya rada kichwani kwa Chenge

kama mnataka kuumiza vichwa vyenu endeleeni kufuatilia nini kitafanyika kwa chenge.
 

Jamani hivi hawa waandishi wetu kwanini wapotoshaji namna hii?! .....

BTW, majitu yaliyoinyonya Tanzania ni miviongozi yetu misomi lakini mirafi na mibinafsi, iliyong'ang'ania kununua li-rada hilo kwa kukatiwa commission na BAE hali ikijua kabisa kuwa halitufai na lilikuwa linauzwa kwa bei ya ulanguzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…