Zigo Remix: AY amshirikisha Diamond, video yafanyika South Africa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kampuni ya Studio Space Pictures ya South Africa imepost picha ya ay na diomond wakionyesha wamefanya video ya zigo remix.
wameandika zigo remix AYTanzania x diamondplatnumz
 

Attachments

  • AY.jpg
    9.2 KB · Views: 1,042
Last edited by a moderator:
pwilo hivi inamaana King Kiba ameshindwa kabisa kutoa video ya nagharamia???
 
Last edited by a moderator:
Kila siku nasema kumlinganisha mond na kiba ni sawa na mlima kwa kichuguuuuuuuuuuuuu kiba labda auze nyumba ya Ulithi
 
Video ya nagharamia wewe inakuhusu nini??

Kama shabiki wake tokea kitambo tu..!!! mwaka ndio unaisha hivii, aliahidi kutokufanya makosa ya mwana, akarudia kwenye chekecha, na sasahvi karudia tena kwenye nagharamia, mwambie sio poa anavyofanya...!!

Mi naongea kwa uchungu penyewe sio die hard fan, je kwa shabiki wa damu?? asitufanyie hivoooo... Au diamond amehonga ili asitoe video??
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] #kujua kazi raha tunawacheka kwa dharau

Fanya hivyo aisee hapo juu
 
Ay jombaa najua unajua lakini nataka ujue zaidi. ...ondoka kwenye comfort zone ili upate BiG BANG. .

Wasanii wote wakubwa nnapiga ngoma ndani ya boxes. ...ndio maana big Bang haitokei.

Brothers you need to evolve. ..Weusi wanaijua hii kitu...Bella anaijua hii kitu. ..Mond anaijua hii kitu. ..Kiba anaijua hii kitu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] #kujua kazi raha tunawacheka kwa dharau

Fanya hivyo aisee hapo juu

Mi nataka videoo, afu calertune nimeweka UTANIPENDA, hiii hii watu wazoee si unajuwa jinsi Chibu Dangote amenyonga mule ndani na tuvinanda twa Tudd...

Fanyeni mpango bwanaaaa, afanye atoe kichupa tusindikize sikukuu hizii, sio vimaneno tu kujua kazi raha kwa kazi ipi aliyofanya wakati kivideo kimoja tu wanazingua kutoa aaaaaaaaaaaaah...!
 
ukweli ni ukweli tu..yes ninayo kwny kitu fulani na inawaka v.baya sana siyo kwny music...ay msanii mkubwa ila ni kama yuko ndan ya box hiv cjui niwekeje maneno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…