Zijue aina 9 za Wanawake wajinga

Inaonesha umepigwa cha mbavu na demu halafu demu amempenda mshikaji mwengine ,pole sana jikaze ndio uanaume huo.
Hebu ongeza picha zingine nami nijipime UJINGA ha ha haaa.

Ila hapo #7 panawaumiza dada zetu wengi sana. Wanyoa viduku na wavaa suruali kama za Koffi Olomide wanawapagawisha madada wengi,hadi huwanashangaa.
 
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
 
Namba saba ni mngese kabisa
 
sa.mbona hata ww umebadilisha jina humu mtandaoni
 
Kuna Wengine Hawana Hobi Ya Kuolewa Ila Wanataka Kuzaa Na Waume Za Watu
 
Yaani thread yote nahisi ipo kikuria zaidi mpaka navyoandika hapa naona kikuria yaani UJINGA KABISA
 
Tafsiri ya ujinga ni pana mno.

Mfano wewe mkuu mleta uzi ni mjinga kwasababu hauna uelewa wa sababu zinazowafanya hao unaowaona wajinga kufanya hivyo.
 
Tafsiri ya ujinga ni pana mno.

Mfano wewe mkuu mleta uzi ni mjinga kwasababu hauna uelewa wa sababu zinazowafanya hao unaowaona wajinga kufanya hivyo.
Kwaio we nae ni mjinga ?
 
Nakazia ...umepigilia msumari .

Wanawake waivo mimi nawaita Vitunguu maji, kamasi kichwani .
 
Mwanamke Anayejua Fulan ni kicheche nabado anajilengesha naye agongwe huyo ni Mjinga
 
Kwaio we nae ni mjinga ?
Mfano mdogo tu.

Hapa nilipo sina uelewa ni wapi walipo watanzania wenzangu akina Ben,pia sijui waliomchabanga Lissu risasi,unadhani mimi sio mjinga katika hayo?

Kila mtu ni mjinga kwa upande fulani.
 
Mfano mdogo tu.

Hapa nilipo sina uelewa ni wapi walipo watanzania wenzangu akina Ben,pia sijui waliomchabanga Lissu risasi,unadhani mimi sio mjinga katika hayo?

Kila mtu ni mjinga kwa upande fulani.
nabado unaangalia tu, wewe ndio wa hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…