Zijue aina za tiles za Goodwill ceramic

Zijue aina za tiles za Goodwill ceramic

van_drakee

Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
30
Reaction score
57
Zijue aina za tiles zinazozalishwa na goodwill

Habari za muda huu wakuu leo nimekuja kwenu kwa kuwaelezea kwa uchache kuhusu tiles za Goodwill

Kwanza kabisa goodwill ceramic ( T) company limited ni company Namba Moja kwa uzalishaji wa tiles kwa hapa Tanzania na ndio tiles zinazopendwa zaidi kutokana na uimara na zina pattern nyingi (maua au design) nyingi zaidi kwa hapa Tanzania na ni affordable price

Goodwill ceramic (T)company
Wanazalisha aina 3 za tiles nazo ni :
1.Wall tiles (tiles za ukutani)
2. Floor tiles (tiles za sakafuni)
3. Skarting

1. wall tiles
Tukianzia kwenye wall tiles (tiles za ukutani), hizi ni tiles za ukutani ambazo zinatumika sana sana jikoni, chooni na kwenye nguzo za nje ya kibaraza . Goodwill tunazalisha size 3 za wall tiles 20*30, 25*40 na 30*60

2. Floor tiles
Hizi ni tiles za sakafuni (floor)ambazo zinatumika katika sehemu kama dinning room, seat rooms , chooni , na sehemu nyengine.

Lakini pia floor tiles zinazozalishwa goodwill ziko aina nne (4) nazo ni:

1. Porcelain tile
Hizi ni floor tiles ambazo goodwill huzalisha na aina hii ya tiles utumika zaidi kwenye miradi ya kiserikali kama mashule , hospital n.k .
Kwenye porcelain ziko aina kama 3 hivi nazo ni
1.P (1,3,4)
2.P 02
3.F44
Zote hizi ni 40*40 na zinakaa 12 PC kwenye box

2. Rustic tiles (tiles sizizoteleza)
Hzi pia ni tiles za floor ambazo haziterezi kabisa ukiweka kwenye sakafu. Na matumizi yake ni living room, dinning room, chooni,jikoni.
Rustic tiles ziko aina tofauti tofauti kama G,MG,HX,X na FG na ziko katika size tofaut tofauti Kuna 30*30, 40*40, 50*50, 60*60

3.Full polished glazed tiles
Hizi pia ni tiles zinazozalishwa na goodwill ceramic company ambazo ziko polished na matumizi yake ni kwenye mahotel makubwa, shopping malls, supermarket, office building na hata majumbani kwa mtu anaejiweza maana bei yake ni kubwa kidogo .
Full polished glazed tiles ziko mbili nazo ni PY na SY(nyeusi full polished ) na ziko katika size tofauti 50*50 na 60*60

4 . Crystal tiles
Hii pia nia aina nyengine ya floor tiles inayozalishwa na goodwill na matumizi yake ni living room, dinning room, bedroom . Ila si sahihi kwa matumizi ya chooni na jikoni.
Crystal tiles ziko za aina tatu S,SYG na SJ44 na ziko kwenye size mbili tu 30*30 na 40*40

3 skating
Hii ni aina ya tile ambayo inazalishwa pia na goodwill ceramic company hii ni tiles inayowekwa pembeni ya ukuta na size yake ni 12*60 na huwa zinakaa 25pc kwenye box.

Karibuni tuwahudumie kama unataka kuwa agent wa goodwill au unaproject unaweza ukanitafuta na tukawasilana kwa Namba ya ofisi Zijue aina za tiles zinazozalishwa na goodwill

Habari za muda huu wakuu leo nimekuja kwenu kwa kuwaelezea kwa uchache kuhusu tiles za Goodwill

Kwanza kabisa goodwill ceramic ( T) company limited ni company Namba Moja kwa uzalishaji wa tiles kwa hapa Tanzania na ndio tiles zinazopendwa zaidi kutokana na zina pattern nyingi (maua au design) nyingi zaidi kwa hapa Tanzania na ni affordable price

Goodwill ceramic (T)company
Wanazalisha aina 3 za tiles nazo ni :
1.Wall tiles (tiles za ukutani)
2. Floor tiles (tiles za sakafuni)
3. Skarting

1. wall tiles
Tukianzia kwenye wall tiles (tiles za ukutani), hizi ni tiles za ukutani ambazo zinatumika sana sana jikoni, chooni na kwenye nguzo za nje ya kibaraza . Goodwill tunazalisha size 3 za wall tiles 20*30, 25*40 na 30*60

2. Floor tiles
Hizi ni tiles za sakafuni (floor)ambazo zinatumika katika sehemu kama dinning room, seat rooms , chooni , na sehemu nyengine.
Lakini pia floor tiles zinazozalishwa goodwill ziko aina nne (4) nazo ni:

1. Porcelain tile
Hizi ni floor tiles ambazo goodwill huzalisha na aina hii ya tiles utumika zaidi kwenye miradi ya kiserikali kama mashule , hospital n.k .
Kwenye porcelain ziko aina kama 3 hivi nazo ni
1.P (1,3,4)
2.P 02
3.F44
Zote hizi ni 40*40 na zinakaa 12 PC kwenye box

2. Rustic tiles (tiles sizizoteleza)
Hzi pia ni tiles za floor ambazo haziterezi kabisa ukiweka kwenye sakafu. Na matumizi yake ni living room, dinning room, chooni,jikoni.
Rustic tiles ziko aina tofauti tofauti kama G,MG,HX,X na FG na ziko katika size tofaut tofauti Kuna 30*30, 40*40, 50*50, 60*60

3.Full polished glazed tiles
Hizi pia ni tiles zinazozalishwa na goodwill ceramic company ambazo ziko polished na matumizi yake ni kwenye mahotel makubwa, shopping malls, supermarket, office building na hata majumbani kwa mtu anaejiweza maana bei yake ni kubwa kidogo .
Full polished glazed tiles ziko mbili nazo ni PY na SY(nyeusi full polished ) na ziko katika size tofauti 50*50 na 60*60

4 . Crystal tiles
Hii pia nia aina nyengine ya floor tiles inayozalishwa na goodwill na matumizi yake ni living room, dinning room, bedroom . Ila si sahihi kwa matumizi ya chooni na jikoni.
Crystal tiles ziko za aina tatu S,SYG na SJ44 na ziko kwenye size mbili tu 30*30 na 40*40

3 skating
Hii ni aina ya tile ambayo inazalishwa pia na goodwill ceramic company hii ni tiles inayowekwa pembeni ya ukuta na size yake ni 12*60 na huwa zinakaa 25pc kwenye box.

Karibuni tuwahudumie kama unataka kuwa agent wa goodwill au unaproject unaweza ukanitafuta na tukawasilana kwa Namba ya ofisi +255 733 500 968
Tunauza jumla tu

IMG_20230818_124653.jpg
 
Daresalaam.
50*50 ziko aina nyingi na zote zinabei tofaut tofauti Kuna FG 50*50 bei ni 29500 (hizi ni za rough azitelezi)
PY 50*50 bei 29600 (hizi ziko full polished)
PG 50*50 bei 29600
X 50*50 bei 29600
Pia kuna black
SY 50*50 bei 38,000(hii ni full polished)
HX 50*50 bei 29900
 
Naomba niwekee Bei ya Dodoma... Ndani ya mwezi mmoja tufanye kazi
 
Kwenye porcelain ziko aina kama 3 hivi nazo ni
1.P (1,3,4)
2.P 02
3.F44
Zote hizi ni 40*40 na zinakaa 12 PC kwenye box

2. Rustic tiles (tiles sizizoteleza)
Hzi pia ni tiles za floor ambazo haziterezi kabisa ukiweka kwenye sakafu. Na matumizi yake ni living room, dinning room, chooni,jikoni.
Rustic tiles ziko aina tofauti tofauti kama G,MG,HX,X na FG na ziko katika size tofaut tofauti Kuna 30*30, 40*40, 50*50, 60*60

3.Full polished glazed tiles
Hizi pia ni tiles zinazozalishwa na goodwill ceramic company ambazo ziko polished na matumizi yake ni kwenye mahotel makubwa, shopping malls, supermarket, office building na hata majumbani kwa mtu anaejiweza maana bei yake ni kubwa kidogo .
Full polished glazed tiles ziko mbili nazo ni PY na SY(nyeusi full polished ) na ziko katika size tofauti 50*50 na 60*60

4 . Crystal tiles
Hii pia nia aina nyengine ya floor tiles inayozalishwa na goodwill na matumizi yake ni living room, dinning room, bedroom . Ila si sahihi kwa matumizi ya chooni na jikoni.
Crystal tiles ziko za aina tatu S,SYG na SJ44 na ziko kwenye size mbili tu 30*30 na 40*40
Fafanua vizuri hujaeleweka hapa hizo p zinamaanisha nini
 
Bila kujali ofisi yako. Tiles bora katika soko la Tanzania ni zipi?

Ubora huo tunaupima kwa namna gani?

Ukituorodheshea hapa tutashukuru mkuu.
 
Back
Top Bottom