Zijue aina za tiles za Goodwill ceramic

Bila kujali ofisi yako. Tiles bora katika soko la Tanzania ni zipi?

Ubora huo tunaupima kwa namna gani?

Ukituorodheshea hapa tutashukuru mkuu.
Tanzania hakuna bidhaa 'bora' bali tuna bidhaa 'angalau' wafanyabiashara wetu ni wahuni wahuni sana.
 

Namba ya ofisi haipatikani😎😎
 
Naomba price catalogue ya tiles zenu za Sakafuni na uKutani.Kama mna Wakala Mwanza au Geita itapendeza pia kupata Mawasiliano yake.Namba yangu ni 0752-010710
 
Narudia kusoma kwa makini siku nikifika huko itasaidia
 
Hiyo no 3 50*50 ni sh ngapi box?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…