KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Je, kitambi chako ni kipi? Kuna kutambi kinachosababishwa na pombe, bila kujalisha ni mataputapu au bia.
Kuna kitambi kinachosababishwa na msongo wa mawazo. Na pia kuna vitambi vyasababishwa na matatizo ya ki hamoni