Zijue aina za vitambi. Je, cha kwako ni kipi?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936

Je, kitambi chako ni kipi? Kuna kutambi kinachosababishwa na pombe, bila kujalisha ni mataputapu au bia.

Kuna kitambi kinachosababishwa na msongo wa mawazo. Na pia kuna vitambi vyasababishwa na matatizo ya ki hamoni
 
Hv kitambi Cha aina yyt kina kazi gan mwilinii Kwa mtu!!!
 
Hasa miaka hii watu wamezidi vitambi, nilienda benki fulani hapo kibaha wafanyakazi wake kwa waume ni vibonge mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…