Yule aliyesema Mkuu wa mkoa Shinyanga amekufa ni nani? Je kweli amekufa?Rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusiana na Dr. Slaa:
- Mcha Mungu.
- Anayewajali na kuwastahi watu.
- Anapenda haki na kuwajali wanyonge.
- Mkweli wa maneno na matendo.
- Ana uwezo wa kuongoza na upeo mpana.
- Anapenda amani na utulivu.
- Ni muadilifu.
- Analipenda taifa lake.
- Sio fisadi.
- Ndani ya miaka 10 kawaletea maendeleo jimboni kwake.
Ulimi hauna mfupa! na wewe subiri Kigoma kua Dubai kama ulivyoahidiwa na Baba Rizi 1
Yule aliyesema Mkuu wa mkoa Shinyanga amekufa ni nani? Je kweli amekufa?
Mlio Tanzania mtujuze
Aliyeibiwa mke ni wewe au ni yule alikwenda mahakamani na mpaka leo hii hiyo kesi imeishia wapi? mwenye mke atoke hadharani tena uchaguzi umeisha! unajingine?
Yule aliyesema Mkuu wa mkoa Shinyanga amekufa ni nani? Je kweli amekufa?
Mlio Tanzania mtujuze
Rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusiana na Dr. Slaa:
- Mcha Mungu.
- Anayewajali na kuwastahi watu.
- Anapenda haki na kuwajali wanyonge.
- Mkweli wa maneno na matendo.
- Ana uwezo wa kuongoza na upeo mpana.
- Anapenda amani na utulivu.
- Ni muadilifu.
- Analipenda taifa lake.
- Sio fisadi.
- Ndani ya miaka 10 kawaletea maendeleo jimboni kwake.
4.doubt ilikuaje awe padri hapo hapo akapata watoto wawili ni bi mkubwa mheshimiwa?
- Ndani ya miaka 10 kawaletea maendeleo jimboni kwake.
Pro Chadema wengi humu JF wamejaa upofu mpaka ufisadi wa chama chao wameufunika na blanketi jeusi, mimi naelezea sifa moja tu ya 7. jinsi Dk Slaa anavyotafuna kodi zetu Watanzania kupitia ruzuku wanayopata, mshahara wa Dk Slaa kwa mwezi 7000,000 kwa mwezi, kwa mwaka anakusanya 84,000,000, ndio Katibu mkuu wa chama cha siasa analipwa pesa nyingi kuliko wote Tanzania kwenye historia ya nchi yetu aijawahi kutokea, posho ya maandamano. kila maandamano posho 600,000, wastani wa maandamano kila mwezi kwa mwaka 7,200,000 jumla kwa mwaka Dk Slaa anakusanya shilingi milioni 91,200,000, huu ni ufisadi mkubwa anafanya Dk Slaa lakini kama wewe ni Pro Chadema JF uwezi kuliona
Analipwa ghali na anafanya kazi nzuri. Hakuna katibu mkuu wa chama chochnte cha siasa humu nchini anayefanya kazi kubwa ya kukijenga chama chake kama yeye. Kwa vile na wewe ni pro ccm, huwezi kuona!
Nifahamuvyo hakusema amekufa. Isipokuwa aliwaambia waliokuwa wakimsikiliza kwamba amepata msg ya simu ambayo hamfahamu mtumaji ikimfahamisha kwamba Mkuu wa Mkoa ule ambao yeye alikuwa akifanya shughuli zake alikuwa kafariki. Aliwaomba wasikilizaji wake wasimame kwa heshima ya Mkuu huyo kama ni kweli angekuwa amekufa kama msg ilivyonadi. Baadae iligundulika kwamba msg ile ilikuwa ni kazi ya TISS ili watu wamwone si makini, lakini kwa wengi tunaoifahamu CCM na uhuni wake wakikachero hatukuona tatizo lolote pale kwani ange-Ignore ile msg na kama ingekuwa ni kweli amefariki angelaumiwa kwa kuonyesha dharau na kutokujali. Hayo ndiyo mambo ya TISS ambayo imesahau kabisa kushughulikia Usalama wa Taifa na wanahangaikia usalama wa Chama cha Magamba na makuwadi wao! Tena kwa gharama ya kodi tunazolipa. Ikumbukwe pia kwamba asasi hii hii ilwahi kuumbuliwa ilipotega vinasa sauti vyumbani mwa wabunge wa upinzani katika bunge lililopita! Shame on them, History will judge those ******.Yule aliyesema Mkuu wa mkoa Shinyanga amekufa ni nani? Je kweli amekufa?
Mlio Tanzania mtujuze