Zijue baadhi ya sheria, kanuni na taratibu za Jeshi la Polisi

Zijue baadhi ya sheria, kanuni na taratibu za Jeshi la Polisi

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Kwa wale ambao wanapenda kujua haki zao wanaweza kupitia hapa kujua kuhusu Sheria za Jeshi la Polisi.
 

Attachments

Asante sana kwa kutupatia ujuzi huu mkuu
wengi wa watanzania hawapendi kusoma usishangae hata ushauri huu wa kufahamu taratibu za Polisi wasifungue na kubaki kulalamika tu na kuona kama wanaonewa kila kukicha.
 
Hizi kweli ni sharia na dhahiri lakini wao wenyewe hawazifati hizi sharia na ukitaka kusisitiza kuhusu haki yako basi wanazo sharia ambazo wanaweza kuzitumia kukukomoa tu - kisha kukuachia !!
 
Back
Top Bottom