Zijue dalili saba za biashara inayoenda kufa

Ndugu wana jukwaa, Makala mpya inatoka leo, Inahusu hatua tano za ukuaji wa biashara. itakupa mwanga wa kujua biashara yako iko hatua gani, na katika hatua hiyo ni mambo gani ya kuzingatia na ni hatari gani utazikabili na nini kifanyike ili uweze kuvuka kwenda hatua nyingine. Kaa mkao wa kula.
 
Mwana isije kuwa nawe ni motivitional speeker. Maana mtindo unao kuja nao una ukakasi. Ebu Leta madini kama yapo GOD Atakulipa
 
8. Biashara na KUHONGA havichangamani inabid kuchagua MBUNYE ama Biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…