Zijue Dalili ya Kazi za kitapeli Mtandaoni

Zijue Dalili ya Kazi za kitapeli Mtandaoni

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Dalili ya Kazi za Kitapeli:

1. Kampuni haina tovuti au akaunti katika mitandao ya kijamii.

2. Barua pepe ya mwajiri haiendani na tovuti rasmi ya kampuni au shirika halali

3. Maelezo ya kazi yanatumwa kupitia 'WhatsApp', 'SMS', 'Telegram'

4. Maelezo ya kazi hayaeleweki na yana makosa herufi au sarufi.

5. Huwa na offa na mishahara mikubwa isiyolingana na majukumu ya kazi

6. Unatakiwa kutoa taarifa za kibinafsi, kama vile akaunti ya benki.

Pia soma:Utapeli wa Mtandaoni umekithiri, chukua tahadhari hizi ili kutambua Links na ujumbe wa maandishi wa kitapeli
 
Utasikia " Shirika lisilo kuwa la kiserikali linatangaza nafasi nyingi sana za kazi"
 
Back
Top Bottom