Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Unaweza kuthibitisha demons wapo kwa real evidence?Aah, kwanini nikuletee stori za ki-stone, kwani hapa JF ni stonini? Acha kumfurahisha shetani na mapepo yake. Hao ma-demons wameishahukumiwa kwenda motoni. Wanaijua vizuri raha ya mbinguni. Hawataki wewe uingie mbinguni; wanataka wewe uende nao motoni, ndio sababu usiku na mchana wanafanya kazi ya kuwadanganya watu wasiamini mambo ya kiroho.
Mbinu mojawapo wanayoitumia mapepo ili kuwanasa watu, ni kuwashawishi wasiamini kwamba kuna mapepo ili waendelee kuwatesa. Mimi nikilala usiku, usingizi wangu ni wa amani tele. Nalala kama mtoto mchanga. Siogopi wachawi wala mapepo wala baba yao shetani. Wakija kwangu, natamka tu: "Kwa Jina la Yesu, tokaa..."Ukiamini hizi ngano hutoishi kwa amani
Huenda yalikuwa mazingaombwe!!!😷Ilikuwa inarushwa rushwa juu na mapepo. Kwa kawaida, friji haiwezi kurukaruka juu. Lakini pepo wana nguvu ya kufanya hivyo.
Hao unaosema shetani amewateka ndio wamekuletea ustaarabu na mifumo ya jamii unayo enjoy sasaLakini angalia shetani alivyoteka fikra zao bila wao kujua. Kanisani hawaendi lakini wanatumia muda mwingi na pesa nyingi kutengeneza silaha za kuangamiza binadamu wenzao
Are you sure that fading of your sleep paralysis didn't coincide with calling out Jesus Christ ?However, in my case, the oppression disappeared instantly when I rebuked it in the name of Jesus. If it were just a natural condition, why did it stop immediately at the mention of His name?
Noma sanaUlishawahi ona tajiri ana mapepo?
Ushahidi wa kuwepo kwa mapepo unapatikana kwa njia tatu: Kwanza: uzoefu, yaani matukio ambayo watu wameyashuhudia wenyewe au kuyapitia binafsi—bila kutegemea masimulizi ya wengine au Maandiko. Mimi nimeshuhudia humu mara nyingi shuhuda za namna hiyo. Pili, ni ushuhuda wa kihistoria, na tatu ni Maandiko matakatifu.Unaweza kuthibitisha demons wapo kwa real evidence?
Wametekwa kiroho. Mapepo hayawazuii kuvaa suti kama hiyo ya kwenye avatar yako! Ila utajua wana mapepo pale wanapoanza kutetea ushoga au kuwasha drones za kuwaangamiza wakazi wa Ukraine wasio na silaha!Hao unaosema shetani amewateka ndio wamekuletea ustaarabu na mifumo ya jamii unayo enjoy sasa
Mlikuwa mnatupa vichanga kichakani vikiwa na ualbino
Hapana. Hao wanaowachinja Hamas ni kwamba bado wanafuata Torati inayoruhusu mtu akikupiga na wewe mpige. Hiyo sheria Yesu aliiondoa. Ndio sababu Mkristo wa kweli ukimpiga ngumi, hakurudishii ngumi. Badala yake anakusamehe tu kwa kuwa hujui utendalo.Mlikuwa mnaua vikongwe wakiwa na glaucoma na kadhalika na kadhalika
Na hii imani ya Kikristo tuliyonayo sasa shukuru imepitia Ulaya la sivyo ingebaki mashariki ya kati walokole wangekuwa wanavaa kanzu nyeusi wakiwa wanachinjana na waislam
If it were just a coincidence, why does this ‘coincidence’ happen repeatedly to those who call upon Jesus in such situations? Many people, including myself, have experienced immediate release when invoking His name. If sleep paralysis were purely a biological phenomenon, rebuking it in the name of Jesus should have no effect. Yet, it does. That’s not mere coincidence—that’s authority in action. The burden of proof is not just on me, but also on you to explain why this so-called ‘coincidence’ keeps occurring specifically when Jesus' name is invoked.Are you sure that fading of your sleep paralysis didn't coincide with calling out Jesus Christ ?
Kweli shukrani ya punda ni mateke, yaani leo hawa hawa ambao wanachangia takribani nusu ya bajeti ya taifa lako lijiendeshe (msitie aibu na vifo vya watoto na wanawake wajawazito pamoja na ukimwi) anaonekana ana pepo?Ila utajua wana mapepo pale wanapoanza kutetea ushoga au kuwasha drones za kuwaangamiza wakazi wa Ukraine wasio na silaha!
Maneno tu hayo.Mbinu mojawapo wanayoitumia mapepo ili kuwanasa watu, ni kuwashawishi wasiamini kwamba kuna mapepo ili waendelee kuwatesa. Mimi nikilala usiku, usingizi wangu ni wa amani tele. Nalala kama mtoto mchanga. Siogopi wachawi wala mapepo wala baba yao shetani. Wakija kwangu, natamka tu: "Kwa Jina la Yesu, tokaa..."
Yanakimbia mbioooo!
Yakobo 4:7
Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia.
Usichanganye masomo. Kusema mtu ana pepo sio kumtusi. Mapepo ni kama virus. Yanaweza kumshambulia mtu yeyote bila kujali rangi yake au uwezo wake wa kifedha. So, kusema kwamba fulani ana virus sio kukosa shukrani.Kweli shukrani ya punda ni mateke, yaani leo hawa hawa ambao wanachangia takribani nusu ya bajeti ya taifa lako lijiendeshe (msitie aibu na vifo vya watoto na wanawake wajawazito pamoja na ukimwi) anaonekana ana pepo?
Na nyinyi ambao bara zima ni mzigo kwa jumuiya ya kimataifa tuwataje? Watakatifu?
Katika nchi za weupe ni kweli dalili hizo hupewa majina ya kisayansi kama Schizophrenia, depression, au psychosis, na wagonjwa hutibiwa kwa dawa na therapy. Hata hivyo wagonjwa wenye mapepo hasa, piga ua, dawa haziwezi kuwaponya.Kwenye Nchi za wale watu wenye ngozi nyeupe hawatambui uliyotaja kama mapepo bali Mental Disorders
Ukiona unapitia hali zilizotajwa hapo juu kabla ya kuzunguka kwenye Makanisa ya Mwamposa pita pale idara ya magonjwa ya akili Muhimbili; utaambiwa una schizophrenia, msongo wa mawazo na diet yako mbovu ya kushindia maharage na mihogo (umaskini) imezalisha gesi tumboni ambayo inakufanya ujisikie unawehuka
Ukisikia sauti inakuambia wewe ndio mungu, wewe ndio Yesu - shtuka. Hizo ni sauti za mapepo. Wanaojiita mungu, haikutokea tu ghafla, ama walisikia sauti au waliona maono ya namna hiyo, wakakubaliana na uongo wa shetani, wakaanza kujiita mungu na kuwadanganya watu.Hebu Noel ewe she una maana gani kusema “kusikia sauti au maono ya kipepo yanayokuongoza mbali na Mungu.”
Hakuna sauti kama hoyo kwa mwenye akili timamuUkisikia sauti inakuambia wewe ndio mungu, wewe ndio Yesu - shtuka. Hizo ni sauti za mapepo. Wanaojiita mungu, haikutokea tu ghafla, ama walisikia sauti au waliona maono ya namna hiyo, wakakubaliana na uongo wa shetani, wakaanza kujiita mungu na kuwadanganya watu.
Kwa sababu mimi huwa naona majini huchukuliwa kuwa ndio hao mapepo(malaika), lakini jinsi wanavyoelezwa majini hawaonekani kuwa na asili ya malaika.Mimi sijachanganya. Hivyo nilivyokuambia ndivyo ilivyo.