Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,194 Jan 6, 2019 #21 Khaligraph Jordan said: Vibaya mno yani nikiweka hata mbegu zake kwenye ulimi naweza kutapika (Personally). . Ila uchachu linao na ladha nyingine ya uchungu Click to expand... Hilo itakuwa haijaiva
Khaligraph Jordan said: Vibaya mno yani nikiweka hata mbegu zake kwenye ulimi naweza kutapika (Personally). . Ila uchachu linao na ladha nyingine ya uchungu Click to expand... Hilo itakuwa haijaiva
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,458 Reaction score 4,283 Jan 6, 2019 #22 M Hawachi said: View attachment 987503 Dar hayaunzwi hovyo kukutana nayo sokoni bahati. Click to expand... Mtaa wa kisutu yapo mengi yanauzwa na hao wenye kuuza mboga humo uindini
M Hawachi said: View attachment 987503 Dar hayaunzwi hovyo kukutana nayo sokoni bahati. Click to expand... Mtaa wa kisutu yapo mengi yanauzwa na hao wenye kuuza mboga humo uindini
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Jan 6, 2019 #23 Khaligraph Jordan said: Vibaya mno yani nikiweka hata mbegu zake kwenye ulimi naweza kutapika (Personally). . Ila uchachu linao na ladha nyingine ya uchungu Click to expand... Labda yapo aina nyingi Ninayojua Mimi ni matamu
Khaligraph Jordan said: Vibaya mno yani nikiweka hata mbegu zake kwenye ulimi naweza kutapika (Personally). . Ila uchachu linao na ladha nyingine ya uchungu Click to expand... Labda yapo aina nyingi Ninayojua Mimi ni matamu
Loftins JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 10,485 Reaction score 13,693 Jan 6, 2019 #24 Hornet said: Labda yapo aina nyingi Ninayojua Mimi ni matamu Click to expand... Ulimi wako pengine una radha ya utamu ππππ
Hornet said: Labda yapo aina nyingi Ninayojua Mimi ni matamu Click to expand... Ulimi wako pengine una radha ya utamu ππππ
Bhakusyobhile Member Joined Aug 1, 2018 Posts 65 Reaction score 198 Jan 15, 2019 #25 Mbeya yapo mengi sana tena wengine huyatumia kama maua,ila yanaishia kuharibiwa na watoto wa shule,ukiona mtu anakula ujue ni mja mzito
Mbeya yapo mengi sana tena wengine huyatumia kama maua,ila yanaishia kuharibiwa na watoto wa shule,ukiona mtu anakula ujue ni mja mzito