Habari wapendwa, watanzania wenzangu
Naomba Leo kuja kwenye jukwaa hili la biashara uchumi na ujasiriamali nikiwa na mada inayohusiana na faida za uagizaji wa magari Toka nje ya nchi.
Zifuatazo ni faida za uagizaji wa magari Toka nje ya nchi;
1. Gharama nafuu
Licha ya kuwa uagizaji wa magari Toka nje ya nchi inshusisha Kodi kubwa kama vile import duty VAT na excise duty Bado uagizaji wa magari Toka nje ya nchi unasaidia kupata gari lililo katika hali nzuri na Kwa Bei nafuu ukilinganisha na kununua magari ndani ya nchi. Tofauti ya gharama za kununua magari Toka nje ya nchi na kununua magari ndani ya nchi ni kuwa unaponunua magari ndani ya nchi unapata gari likiwa na Bei mara mbili au mara tatu ukilinganisha na kununua magari Toka nje ya nchi na hii ni Kwasababu gari linakuwa limeshalipiwa Kodi zote na pia hufidia muda wa kutunza gari. Lakini pia ukiagiza gari Toka nje ya nchi garama zake huweza kufika asilimia 60 ya Bei halisi ya gari na pia unaweza PATA huduma zingine kama vile kusaidiwa kufanya usajili na kukatiwa bima ya gari.
2. Mstumizi madogo ya nishati
Magari Toka nje ya nchi mara nyingi yaani most of them huwa katika hali nzuri na pia utumizi wake wa mafuta huwa ni mdogo ukilinganisha na magari ambayo tayari yamekwishatumika kwani huwa tayar yameshapita Kwa mafundi wengi lakin pia ubovu wa Barbara zetu.
3. Uwezo wa kukaa muda mrefu ( long lifespan)
Magari Toka nje ya nchi huwa most of them yana uwezo wa kukaa muda mrefu yakiwa katika hali nzuri. Ninashauri kununua magari Toka nje ya nchi ukilinganisha na kununua magari ndani ya nchi Kwan showrooms nyingi zinazouza magari ndani ya nchi licha ya kununua Toka nje ya nchi pia hununua kutoka Kwa watu waliokwisha tumia magari na kama kuyauza kwenye showrooms za ndani na pengine magari hayo yalinunuliwa taking wa used kwahiyo badala ya kununua second hand unapata third hand ✋ sorry nimezidisha chumvi
4. Ukubwa wa machaguo
Tofauti ya kununua magari ndani ya nchi na kununua magari Toka nje ya nchi ni kuwa showrooms nyingi za ndani ya nchi huwa Zina idadi ndogo ya magari kwahiyo inakuwa vigumu kupata gari unalilihitaji tofauti na unapoamua kuagiza gari Toka nje ya nchi inakuwa na machaguo mengi ya kuagiza Toka nchi mbalimbali kama vile china japani marekani uingeeeza na Dubai.
5. Thamani kubwa ya gari Kwa Bei nafuu
Asante
Kwa habari zaidi
0686153806 Whatsapp