kwa hiyo unataka kulinganisha mkoa wa tabora na wilaya ya mbulu????????. Labda tuseme may be mfumo kristo umewaathirri wiaya ya mbulu na kuwafaidisha mkoa tabora. Unasemaje kuhusu hilo..........???????
Ukweli unabaki mzunguko wa pesa wilaya nyingi za tanzania ni mdogo. Hata hapo mkoani tabora nenda katika ngazi ya ya wilaya sawa na mbulu . Ajira pekee au wa kiasi kikubwa ni za serikali . Kwa wilaya za mazingira ya jamii za wafugaji inakuwa ngumu zaidi.
Nafuu ya mzunguko wa pesa utaikuta kwenye wilaya zenye machimbo au economic activities fulani. Mfano wiaya za na mikoa mingine inayozunguka ziwa victoria kama mwanza sababu ya ziwa victoria madini, kiimo cha pamba wenyeji mapaka wailayani wana option nying sana za kipato.
Sasa huwezi kulinganisha kipato na mzunguko wa fedha wilayani sengerema au geita na wilaya fulani za singida amabayo may be zaidi ya kilimo cha karanga na fod crop source nyingine kubwa ya fedha ni ni gari moshi linapopita. Anyway ukiamua kulinganisha na kuwa fair.