singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Ndugu zangu wakulima kama mimi, wavuvi na wafugaji na wachimbaji madini, katiba imetutambua nashughuli zetu tuipe kura ya ndio ili tuepuke migogoro ya ardhi ya kila siku
haki zetu zinapatikana hapa
46-(1) Haki za wakulima, wafugaji,wavuvi,na wachimbaji wa madini wtakuwa na haki ya
(a) Kumiliki, kutumia na kuendeleza ardhi kwa ajili ya shughuli zao
(b) Kupata taarifa kwa lengo la kuboresha kilimo, ufugaji,uvuvi, na uchimbaji madini
(c) Kumiliki na kunufaika na rasilimali za kinjenetiki za kilimo,mifugo na uvuvi.na
(d) Kushirikishwa katika utungaji wa sera, sheria na mipango mbali mbali inayohusu shughuli zao.
(2) mamlaka ya nchi itaweka utaratibu wa kisheria kwa madhumuni ya kubainisha na kutenga maeneo ya rdhi kwa ajili ya matumizi ya kilia kundi lililoanishwa katika ibara ndodo ya (1)